Wanaume wa Dar tukutane hapa...

Yaani kuvaa Sendosi ya manyoya manyoya na kisuruali kimebana na tshirt yenye mipasuo pembeni ndio kuvaa kwa mpangilio?

Acha wa mikoani tuonekane washamba tu.
😀😀😀😀😀
 
Yaani kuvaa Sendosi ya manyoya manyoya na kisuruali kimebana na tshirt yenye mipasuo pembeni ndio kuvaa kwa mpangilio?

Acha wa mikoani tuonekane washamba tu.
hahaha!
 
WANAUME WA MIKOANI OVYO KABISA...Eti mtu anapiga picha na liugali likuuubwa, ndio kujisifia mkoani.. Ngedere nyie, mtu haoigi, full kunuka jasho then anajisifia mwanaume wa mkoani... Fala kabisa, mtu hachani nywelie, hanyoi, yupo rafu then unajisifia mwanaume wa mkoani...

takataka kabisa
 
Alafu mtaacha lini kula chips Mayai wajamenii...
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Uzur wa wanaume wa dar ni huu

Dada zenu na wadogo zenu wanakuja kutufanyia kazi na tunawarudisha na mimba

Mnatulimia mazao ya chakula halaf tunawapangia bei ya kununua

Fashion mpya ikitoka tunaichakaza ndo tunawasukumia huko vijijini

Wadada zenu wakishinda mataji ya urembo tunawakalisha huku maana hamna uwezo wa kuwatoboa matundu,,hadhi yenu inakua ndogo

Kwa sbu mnaweza kupata hela za kulima huko mkija dar sisi ndo tunawafundisha kutumia na kuwaibia,maana hamjazoea kushika hela nying

Kuna mikoa mingine kidume kikitoka dar kinawalamba mama mpk watto wa kike ili kipate ladha ya kidaslam

Tulitaka kufuga nguruwe na ng'ombe bas njia pekee ya kutunzwa vzr tunawaleta wa mikoani maana ndo kazi walizo zizoea kwa ufanisi


Kwa hyo hii ya kuwamega dada zenu inawauma sn mpk kuona wanaume wa dar ni dhaifu ila kiukwel inawaumiza sana
 
Jaman hebu tuwaache wanaume wa dar na uzi wao, Kama vipi sisi wa mikoani tuanzishe uzi wetu
 
Jaman hebu tuwaache wanaume wa dar na uzi wao, Kama vipi sisi wa mikoani tuanzishe uzi wetu
tatzo kwa ss wapo shamba wanapalilia, nadhan wataona comment yako usiku wakikaa sehem yenye mtandao.
 
Nadhani wanaposema wanaume wa dar hawajamaanisha usafi wala kuvaa au kujua vitu (utanashati) maaa hata muda mwingine mnavaa mpaka nguo za dada zenu na bado mnapendeza ila sasa tatizo linakuja kwenye ulegelege wenu sasa sijui kama inachangiwa na aina ya vyakula mnavyokula ila hii ya mahindi na malimao na pilipili kwa kweli haijakaa vizuri!!!!
 
Ila pamoja na ulegelege wetu ndo tunawafundisha ujanja na ukakamavu, mkija na mamisuli yenu, tunawaingiza mjin, mnalia wiki nzima afu tunawakopesha nauli ya kurud kijijin kwen.
 
kweli sisi wanaume wa dar ila wanawake wenu wa mikoani kila kukicha wanatuomba nauli ili waje dar
 
Wanaume wa dar mmeshindwa kuwakamata waliomteka bilionea sasa
 

Dar mnaoga ila mnaoga maji kidogooooo. Kopo mbili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…