Tulia wewe Wanaume wa Dar ndio tuliomteka MO, Tunataka nyie was mikoani mje mumkomboeWanaume wa Dar hovyo tu [emoji53][emoji53]
Mo dewj anatekwa nje ya lango la gym huku mabaunza wakiwa ndani huo sio umama kweli?
Mlikuwa gym au mlienda kula chips ndani ya eneo la mazoezi?
Wanaume wa Dar hovyo tu [emoji53][emoji53]
Mo dewj anatekwa nje ya lango la gym huku mabaunza wakiwa ndani huo sio umama kweli?
Mlikuwa gym au mlienda kula chips ndani ya eneo la mazoezi?
Nyie wa masaki kutaneni Chanika.Ukutane na nan sa sisi mwisho masaki . sala sala atufiki[emoji41]
Mngekubali kufa kama wawili alafu muwadake hao vibakaTulia wewe Wanaume wa Dar ndio tuliomteka MO, Tunataka nyie was mikoani mje mumkomboe
Acha uongo katekwa na wazungu kwa mujibu wa uongozi wenu wa dar.Tulia wewe Wanaume wa Dar ndio tuliomteka MO, Tunataka nyie was mikoani mje mumkomboe
Mi nafanya kupita tu jmn siongezi neno hapaMO ametekwa gym walipo mabaunsa .
mmmmmmh.
je umesahaj yule jamaa alitobolewamach hadharani.
asa nyie ni wanaume au wana uuume ?
hebu nyamazeni wanaume tunaongea.
Usije kushangaa kwenye scenes za sononeko mwanaume wa Dar anajiliza kuunga mkono huzuni za muigizaji!👏😂Mwanaume wa dar unamkuta eti nae anatazama fatmagul
Kume kuwa na katabia kuwa wanaume wa Dar ni wazembe, watoto wa mama, mara wengi kama hatujui majukumu ya kiume. Ila nataka kuwadhibitishia wanaume wa Dar ndo tunaongoza kwa kuchakarika na Maisha, kukubalika na warembo tokana na ustarabu wetu na uungwana.
Hivi ni mwanaume gani anavaa kwa mpangilio hapa TZ kuliko wa Dar?, ila kama kawaida mti wenye matunda ndo upigwao mawe… ila kuna wanaume wako mikoani ila ndo wako ronyo ronyo balaa. Kuhusu kunyoa viduku na kula mahindi na ndimu ni mfumo tu wa maisha ila haibadirishi uhodari wetu dhidi ya wanaume wa mikoani.
Ukiwa kama mwanaume wa Dar, eleza ulivyofanya maajabu kwa wanaume na wanawake wa mikoani pindi ulipowatembelea katika mishe zako, haiwezekani tukiwa kama sisi ndo wakali wao afu watuchukulie poa.
watu wangu wa Mwananyamala, Kinondoni, Sinza, Kijitonyama, Mbezi, Temeke na Masaki najua hamtaniangusha.