Wanaume wa Dar na Tabia za kishoga

Wanaume wa Dar na Tabia za kishoga

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,897
Reaction score
3,706
Aisee! Wanaume tumebaki wa chache sana.
wiki kama moja hivi nyuma nimepanda daladala LA kawe nikakutana na jamaa kapaka rangi za kucha (baada ya tafiti yangu rasmi nikagundua zinaitwa "jelly")

hivi wanaume mbona tunapukutika kwa kasi kubwa sana ? Nini tatizo?


kuna mwengine nae ni msanii wa bongo fleva anajiita nedy music, eti nae alikuwa analipiza kisasi kufanya vitu vya kike kisa wanawake wanavaaga suruali zao.
 
We shoga mbona unarudia rudia Uzi?
Nyie watoto wa Secondary mmekuwa wengi hum Jf!Kachezeni na baba zenu bhana
 
Back
Top Bottom