Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Wanawake tunapata tabuNa sisi mabachelor tuliokua serious na ndoa tukiona umezalishwa na njemba kama hiyo tunaruka na wewe halafu tunatoka ndukiiiii [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] hatuna mda na single mother
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukijimix hata matunzo ya mtoto unaweza usipate unaishia kuwa single mazaEti kuna muoaji hapo??
Acha izo basi [emoji23]Ulitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa dar
Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke...
Hivi haya mahusiano yatahusu nini zaidi ya kuload baby mama no 3,??Ulitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa dar
Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke...
Hivi haya mahusiano yatahusu nini zaidi ya kuload baby mama no 3,??Ulitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa dar
Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke
Mdada: Sawa tu niko tayari
Mkaka : Baby una mtoto?
Mdada; Sina baby, wewe unae?
Mkaka: Ndio mpenzi ninao wawili, ukinizalia watatu inanitosha.
Mdada: Ooh hongera sana. Wanao wako wapi?
Mkaka: Wako na mama zao
Mdada: Ok
Mkaka: sasa utakuja lini baby nikupe mimba,nimechoka kweli kuishi peke yangu
Mdada : tutaishi bila ndoa
Mkaka: ndoa baby ni sisi wawili.tukishakaa tutafunga mbeleni huko
Hivi haya mahusiano yatahusu nini zaidi ya kuload baby mama no 3,??
Ila cha ajabu kuna wanawake wanajipeleka tu eneo kama hilo
Wanaume acheni kuzaa zaa ovyo.mnafanya maisha magumu
Wa kuoa utakuwa wewe???
Thubutuuu me mwenyewe muhuniPole kwa mimba..[emoji16]
Uzuri wa wanaume anakupa picha halisi alivo mwanzoniii.uamue mwenyeweAcha izo basi [emoji23]
Hatoi hata mia mwanaume anaejali familia hawezi kuwa na baby mama wawiliNa ukijimix hata matunzo ya mtoto unaweza usipate unaishia kuwa single maza
Unajikuta lile kundi linalopigwa vita kila siku humu
Ni kweli kabisa japo si woteUzuri wa wanaume anakupa picha halisi alivo mwanzoniii.uamue mwenyewe
Kwaio ushamtunuku ama nnHatoi hata mia .mwanaume anaejali familia hawezi kuwa na baby mama wawili
Sio mimi mkuuKwaio ushamtunuku ama nn
Wengi.wanaume wakiwa na hamu sometimes wanabwabwaja mnooooNi kweli kabisa japo si wote
๐๐๐sawaSio mimi mkuu
Kwani mkizidiwa ujanja huwa mnasema basi.๐Thubutuuu me mwenyewe muhuni
Singo mama hujamboUlitaka kuingia kwenye mahusiano na mwanaume wa Dar
Mkaka: Dada nimekupenda niko serious nataka mke
Mdada: Sawa tu niko tayari
Mkaka : Baby una mtoto?
Mdada; Sina baby, wewe unae?
Mkaka: Ndio mpenzi ninao wawili, ukinizalia watatu inanitosha.
Mdada: Ooh hongera sana. Wanao wako wapi?
Mkaka: Wako na mama zao
Mdada: Ok
Mkaka: Sasa utakuja lini baby nikupe mimba,nimechoka kweli kuishi peke yangu
Mdada: Tutaishi bila ndoa
Mkaka: Ndoa baby ni sisi wawili tukishakaa tutafunga mbeleni huko
Hivi haya mahusiano yatahusu nini zaidi ya kuload baby mama no 3?
Ila cha ajabu kuna wanawake wanajipeleka tu eneo kama hilo.
Wanaume acheni kuzaa zaa ovyo.mnafanya maisha magumu.
Wa kuoa utakuwa wewe?