excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,323
- 14,860
Nashindwa kuwapata vizuri wanaume wenzetu mnaoishi mkoa huu wenye uchumi mzito
Mnajidhalilisha sana aisee, mwanaume kajikoboa uso, vipodozi ananukia kama vile hatotoka jasho
Mwanaume kajinawirisha uso, kajipaka poda, cream na mikorogo kibao kiasi kwamba tunashindwa kujua wema ni yupi na Joseph ni yupi.
Kwa kweli wanaume wenzetu acheni haya masuala, huo ndio mwanzo wa kuishia kuwa shoga na kuupoteza uanaume wako halisi
Mengine mtaongezea.. shame on them