Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Mke:Baby nimeota umeninunulia cheni ya dhahabu
Mume:Rudi usingizini ukaivae..
Mume:Rudi usingizini ukaivae..
Mke:Baby nimeota umeninunulia cheni ya dhahabu
Mume:Rudi usingizini ukaivae..
Halafu mkeo akienda kwenye Michepuko sijui umlaumu nani?!