Wanaume: Vijue visa vya michepuko

Shkamoo
 
Real hamuzipendi posts zangu???
Sio kwamba hatuzipendi yani umekuwa one side,hebu siku toa thread ya wanaume wenzako maan sio kwa mchambo huo baba,kha au ndo umepokea kijiti cha muendelezo
 
Sio kwamba hatuzipendi yani umekuwa one side,hebu siku toa thread ya wanaume wenzako maan sio kwa mchambo huo baba,kha au ndo umepokea kijiti cha muendelezo
Wewe itakuwa hausomi kwa makini posts zangu... Mbona jana tu niliposti za upande wetu? Na ijayo pia itakuwa ni dongo kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…