Wanaume: Vijue visa vya michepuko

2017 michepuko nooo. Bora wale wauzaji angalau mkumalizana kila mmoja anatambaa
 
Mkuu mchepuko usipokua makini ni msala maanake mimi nilikuaga nao ulichonifanya ilibidi niundiwe tume huru baada ya kutinga home kumbe umeniwekea chupi mfukoni mwa koti langu.basi kufika home nikamwomba "MKURUNZINZA" anitolee cm yangu kwa mfuko akakutana nayo na wakati nahojiwa kulikoni chupi ya kike kumfuko mara mchepuko hapo hapo ukawa umetuma sms ambayo ilisomwa live.kilichofatia ni zaidi ya...hatari sana mkuu weka mbali na Mkurunzinza
 
Kuna jamaa kavunjiwa simu yake mpyaaa juzi na wife, ila amekaa kijiweni mara wife na mtoto mgongoni - kama robot vile kafika kashika simu ya jamaa (hapo wengine wote tuko wapope na kimyaaaaa) alikua mpole kama anapokea sacrament. Mchepuko sio kbs, wanawake wakigundua huwez kuish kwa amani kbs
 
Mi wa kwangu umejifungua tarehe moja. Hapa nina mawazo balaa maana wife akijua sijui ntajificha wapi. Hapa ndo huwa nakumbuka verse ya Abiud Misholi "Mke wangu ntamweleza nini?"
Unamaanisha Mchungaji Abiud Misholi sio? Aisee Wacha tumwagilie ndoa zetu michepuko ishakuwa sumu.
 
Alipaswa kumdhibiti kwa kumbana mdomo asiongee amkokote mpaka home.
 
Hivi inawezekana kuwa na mchepuko bila kuwa na mke????
Maana bado nina mashaka mimi sijaoa bado so najiuliza hawa nilionao ni michepuko au Mahawara tu.
Ila tabia hizohizo aisee
 
Nawapenda wana jf,kwangu ninyi ni zaidi ya darasa,ikitokea unaumwa au umepata hasara kwenye biashara mchepuko unakununia eh
 
Unamaanisha Mchungaji Abiud Misholi sio? Aisee Wacha tumwagilie ndoa zetu michepuko ishakuwa sumu.
Ndo huyo mkuu...

Huo wimbo anaendelea kusema

"Nitakimbilia wapi mimi,(baada ya mchepuko kulianzisha) Dunia ntaiona ndogo.
Mke wangu ntamfariji vipi, kanisa langu ntaliambia nini?"
 
Hataree my wife ni nusu milembe alafu ndio mchepuko unakoroga,aisee nilishajifichaga toilet mpaka asubuhi mpaka hali ilipotengamaa ndio nikajisalimisha otherwise ningeshakua marehemu.jamani wanaume tuna taabika na kutaabishwa na hii michepuko...
 
Hata hakujua..alidhani anaombwa hela ya nyanya[emoji3][emoji3][emoji3]
Duuh, kwa hiyo jamaa alichezea makofi "mabanzi" ya wife mbele ya washkaji kijiweni sio? Mi nilishawahi kupata mmoja anabwabwaja utadhani tumefunga ndoa. Nikaona isiwe tabu nimerejesha majeshi home. Nimekuwa mpole kama nna Govi.
 
Hahahaha Hajakupiga na kitu kizito kichwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…