Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
- Thread starter
-
- #41
Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi, nina miaka 26 niko Dar naomba uje ukakamilishie huo utafiti wako kwangu nakula chips na yai nusu ili uje hapa useme kama kweli unayo yasema ni ya kweli!!!!
Na nyie muwe mnawambia kama hamkulizika sio unaulizwa unasema nimelizika kisa unaona aibu! sijui hizo sample chafu mnaziokota wapi? njoni kwangu!Hapa malegendary tunapita kimyaaaaa.
Ila mwanamke kutokufikishwa inakera sana.
Mi nawaangalia tu.Wababa tumekusikia tutakufuata PM tuongee biashara...wababa above 35 oyeeeee!!! Chezeya mipingo na kabumbu la wababa wewe...hadi 'mhamiaji haramu' kiswahili yake imekaa sawa sasa...
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.
Si ndio nataka uje hapa jamvini useme Julius hakunifikisha nakuruhusu iwe hivyo maana naona umekutana na wachovu unaona sote tuko hivyo, sihitaji kula cha ziada nikuridhishe ila naturally utalidhika ukifika hapa utengue kauli!!!!!!!!!!!Teh teh wewe tena nusu yai?
Kereruuuu mbutananga utakojoa kwenye paja
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.
Si ndio nataka uje hapa jamvini useme Julius hakunifikisha nakuruhusu iwe hivyo maana naona umekutana na wachovu unaona sote tuko hivyo, sihitaji kula cha ziada nikuridhishe ila naturally utalidhika ukifika hapa utengue kauli!!!!!!!!!!!
Siyo mimi lakini tafadhali.
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.
Haya vijana mwenye masikio na asikie....

Wanaoishi mikoani ila si vijana wa dar es salaam offcourse nimeshafanya kazi mikoa sana vijana wanasimamia show vibaya sana ila si vijana wa dar es salaam yaani aibu wanatia aibu
Kwani wewe ulishamkuna mwanamke akakukinika ukajipa 100%?