Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!



hongera zako Bishanga babab weee alhamndulilah umejaaliwa nguvu aiseeee umefanya kazi nzuri sana aisee
 
Last edited by a moderator:

Dada naomba uni PM ili nikupe show ya Dar To Kinshasa, na sio show ulizozoea kukutana nazo za Dar Mpaka Moro.
dharau huwa sipendi dada yangu!
kwa hizo dharau zako Umenivuruga sana dada yangu!
 
hapana bwana....nna wasi wasi na hao vijana ulio wafanyia research
 
Wababa tumekusikia tutakufuata PM tuongee biashara...wababa above 35 oyeeeee!!!
Chezeya mipingo na kabumbu la wababa wewe...hadi 'mhamiaji haramu' kiswahili yake imekaa sawa sasa...
Bishanga kafanya mambo best anasifiwa
 
Last edited by a moderator:
Nakwambia ukweli vijana wa dar es salaam ni majanga ndo maana vibanda vya waganga nguvu za kiume vinaongezeka wapo kama kuku
 
Hapa malegendary tunapita kimyaaaaa.
Ila mwanamke kutokufikishwa inakera sana.
 
Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi, nina miaka 26 niko Dar naomba uje ukakamilishie huo utafiti wako kwangu nakula chips na yai nusu ili uje hapa useme kama kweli unayo yasema ni ya kweli!!!!
 
Wababa tumekusikia tutakufuata PM tuongee biashara...wababa above 35 oyeeeee!!!
Chezeya mipingo na kabumbu la wababa wewe...hadi 'mhamiaji haramu' kiswahili yake imekaa sawa sasa...

watu8
Hawajui kuwa utu uzima dawa.

Muwa wa mtu mzima uko stable, ushakutana na thoruba nyingi sana.
 
Last edited by a moderator:
Nakwambia ukweli vijana wa dar es salaam ni majanga ndo maana vibanda vya waganga nguvu za kiume vinaongezeka wapo kama kuku

alaaah...... Kumbee!!!!! Poleni sana vijana wa Dar jamani. Muachage kula ma chips muamie kwenye dona sasa!!!!!
 
Ameigiza wee,hadi kachoka,mimi nilijua tu kwamba huyu sio mcongowoman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…