Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Me cjakuelewa,kwani kumfikisha mwanamke kileleni kunahitaji pumzi sana mpaka mtu afanye mazoezi na kula vizuri!? Me nilijua ni maandalizi na wote 2 akili zenu ziwe pale,siyo 1 yupo busy mwingine anawaza atakavyopata ankara ya kula!
aaaah niombe radhi mm nina 20 tu ila shughuli yangu kuulize mwananyamala kwa kopaUtakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu! Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi, mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha? Nimefanya reserch yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini? Sijui vyakula, sijui haraka, sijui stress za maisha hamko stable. Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo. Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa!
Wenye maujuzi wametulia pembeni tulii wameaacha vifaranga wapaptike uwiiiii....
sasa hapo kwenye maandalizi ndio mnapochemsha wengi mnahesabu leo nimefunga nane
umefunga 8 kudadadeki!swali unayafungaje hayo 8
Nani anataka kunukishwa shombo??
Kula nisishibe heri nisipewe
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi, mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?
Nimefanya reserch yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini? Sijui vyakula, sijui haraka, sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa!
Siye wana wa Tanga...malizia kile kibwagizo cha 'Ndipo mapenzi yalipozaliwa'...
Ha ha ha utakalia hivyo hivyo hutomjua ng'ooooooo
Vipi Zahra White, wewe umezijaribu korodani za jogoo labda zimekusaidia?.Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Masugar mum wanahitaji wa kuwapelekesha na kuuza nao sura tu bwaaaaa mnajitetea kwa kuomba game madogo mnalo leo
haaa we jitape tu...
kule nasikia kuna kibao cha karibu hakuna cha kwaheri.......
We kwani huna stress za maisha kama vijana wenzio?
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pozi la kunukishwa shombo.......
nachekaje leo mpaka watu wananishangaa hapa Ofisin lol!!!!!!!!!
Lazima niongee na mkoloni wako, mshahara wa mwezi huu lazima tukukate.
Kazi hufanyi unawashupalia wadogo zangu tuuuu.