Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!


ahahahahahhaha daaadeki wamekuita wa nini wewe huku!
 
[


sasa unategemea nini kwa vijana wa mtaani kwenu wote wala unga,pombe za kienyeji hawana kipato mda wote wana njaa jamani
 


Naomba gemu kama kama sample ya mwisho dada...hapo mlima lazima ushuke.... chezea mzee wa kazi wewe... serious kama upo tayari nipm
 
uzushi mwingi sana
 

Attachments

  • amount of bullshit.jpg
    6.7 KB · Views: 185

hahaaaaaaaaaaaaaaaaa Madame B mbavu zangu mie hasa hapo

ulipomtaja na watu8 lol.......nachekaje mie
 
Last edited by a moderator:
He he wape wape vidonge vyao...we si ndo kungwi wangu jama....
 

Kwa hio unashauri vijana wa umri huo nao waaze kutumia viagra? Maana wababa wa kuazia 40 ndio wateja wazuri wa Viagra...!!kiufupi ni kwamba hao wababa wa3 uliokutana nao walitumia MKUYATI maana wengi wao wamekumbwa na ma Bp na Masukari.
Alafu na wewe ujiangalie inawezekana Papuchi yako imeota sugu km kabang ya nyani mpevu.
 
vijana wengi wa umri huo ndo wapo fiti na ndio sababu hata ma-sugar mummy wanawapenda.
ila sema wewe dada ni miongoni mwa wale ambao hata ukeshe nae usiku kucha hafiki kileleni so ni vigumu kwa vijana hao kukufikisha mtu kama wewe.
 
daah... vijana mmetoa bovu!! hata wale wa "mi napita" mmeongea...!! traaa!!! nyie wakareeee!!
haya ngoja tusome wasifu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…