Tafuta njia ya kumsaidia na kumtoa kwenye kifungo cha mkewe.
Kama kutoka nje ya ndoa imeshakua mazoea kwa hiyo mama basi dharau imejaa gunia tayari!aongee na mke wa jamaa na kumweleza kwamba anajuana amwambie anachokifanya isnt gud kwa mungu ata kibnadamu aifaidah..NA IVI SASA HANA KAZ UYO MAMA NDO ATAZD KUMDHARAU JAMAA
huoni kama kama kumueleza mumewe itamharibia ndoa yake?Tafuta njia ya kumsaidia na kumtoa kwenye kifungo cha mkewe.
mmewe hana akili kivp?
hafanyi vyema
ata km tunapenda tusaidiwe vjikaz bt isnt much...dah tena mbele ya wadogo zangu?ahh apana...km tukiwa waili poa bt km kuna wengne madogo ivi mme wangu HATAGUSA ata kijiko
huyo mama hampend jamaa na ashamfanya km haus boy ivi ndo mana anafanya madudu ivi
mke wangu alijaribu kumshauri ila huyo mama akasema achana na baba fulani alalie masikio tu-yeye itakuwa kushika pembe wenzake wanakamua. kiswahili kikafika mfukoniKama kutoka nje ya ndoa imeshakua mazoea kwa hiyo mama basi dharau imejaa gunia tayari!
mke wangu alijaribu kumshauri ila huyo mama akasema achana na baba fulani alalie masikio tu-yeye itakuwa kushika pembe wenzake wanakamua. kiswahili kikafika mfukoni
wakat anafanya kaz vp uyo baba ALIKUWA NA PESA KUMZID MKEWE?
ATA KM MKEWE ANAPOKEA LAKI 1 AFU MMEWE ANAPOKEA LAKI 1.5?
jamaa alikuwa anahudumia nyumba fresh?
ni kweli kabisa boss, hapa ni kuacha wafu wazike wafu wao kwani huyo bwana ameshakua zuzu. cha kushangaza mpaka saa hii zaidi ya miezi 3 hana kazi wala hajishughulishi sisi ndo tunamtafutia kibarua-wonders my broda ohhhuyo mke wa jamaa inaonekana kabobea na sidhani kama ni rahisi kuacha kwani anamdharau mumewe...sidhani kama ni busara kumuambia jamaa kwani anaweza asikuamini kwa namna anamuamini mkewe.
kaa mbali na mahusiano ya watu mkuu
Tafuta njia ya kumsaidia na kumtoa kwenye kifungo cha mkewe.