Wanaume:utajisiakiaje.......

gfsonwin unaonekana una msimamo kweikweli,shemeji si atakuwa mpole sana hapo?

hapana siyo kwamba namuonea ila tu ni kwamba niko napenda uhuru wangu na kuheshimu naasi yake kama baba na mume. na ukweli uhuru mtamu ni ule wa kuwa na hela yako mwnyw siyo wa kunyoosa mkono kama omba omba. uliza utaambiwa na hata heshima inakuwepo mkuu.
 
lakini unajua sis gfsonwin, kuna wanaume wana roho kama paka duniani.... mpe masharti yoyote, he will always come up with a solution wakati huo akiwa ametega akumege.... and the more unavyomzungusha, ndiyo jinsi utakavyoshughulikiwa siku ya tukio....
basi kaka yangu carturaa miye nakutabnaga na wenye roho kama za kuku wa nyama ambao kelele tu wanaanguka na kuzimia.
 
Last edited by a moderator:

ahha! huyo dada ali loba step auliza magwiji twafanyeje hapa...........alaah!
 

sasa hicho si kitakuwa kisasi sio starehe tena.
 
Last edited by a moderator:
ahha! huyo dada ali loba step auliza magwiji twafanyeje hapa...........alaah!

watu hawana ajizi,hasa ikitokea kwa mtu ambye unamzimia kinoma,kwanini nisitoe mzigo,ila kama ni demu wa kawaida sitoi hata senti
 

nikipata mwanamke wa aina kama yako mbona hufikirii mara 2,yani kwanza unakuwa hufikirii kila saa kugeuzwa saccos,pia lazima utakuwa na uhakika wa kushauriwa vizuri pale mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo,tatizo linakuja kuwa siku hizi wanawake wengi hawana msimamo,kwao kitu cha kwanza ni pesa tofauti na hapo utakula kwa macho tuu.
 
hapo hakuna upendo akufukuzae hakwambi toka au kubali kuwa ATM

mbona siku hizi wanaume tushageuzwa ATM siku nyingi,ila tatizo linakuja jinsi ya kuitumia hiyo ATM,yani unafanya mambo mpaka unaoneka huna damira safi banaaa.....better use njia ambayo hata mtu wako hatakuwa na mashaka.
 
wanawake wengine na kujidhalilisha tu, kwani ulipokua unapanga nyumba uliagana na nani akulipie kodi.
 

aah! sasa hapo unakosea kwani miye malaika bana? waweza kukuta mapungufu yangu yapo kwenye vitu vingine kabisa kama vile kupenda kujirusha ama kitu kingine chochote ambacho tena ni bora anayepiga mzinga kuliko mimi so usiseme hivi hata siku moja.
 
Hiyo ni rahisi sana, unakubali then unamwambia twende nikachukue hela kwenye ATM, ukifika unaingiza kadi na kubofya pin namba kinyumenyume mfano badala ya 5974 unaweka 4795 kadi itamezwa, then unamwambia utachukua hela kesho, unaomba mzigo hawezi kukataa, unamega na kuingia mitini....upo mkuu!
 

mhhh mbinu hiii....?
 
aah! sasa hapo unakosea kwani miye malaika bana? waweza kukuta mapungufu yangu yapo kwenye vitu vingine kabisa kama vile kupenda kujirusha ama kitu kingine chochote ambacho tena ni bora anayepiga mzinga kuliko mimi so usiseme hivi hata siku moja.

i know it is difficult to find a man/woman who is 100% perfect,what im trying to say is that;atleast she should bear some degrees of self confidence as well as firm standing,do you read me gfsonwin?
 
Ukisikia ufisadi ndio huo! Kweli baasha wa kwako mwenyewe unamchuna! Hawa ndio wale kuna wa vocha, blackberry, gari, mafuta, karolight. Pole! Ucmpangishie uone? Au wewe unamuonyeshea mawe? Bac akuonjeshe hata kidogo? "PIGA CHINI au unasubiri manyoya"?
 

kuonjesha ndio hataki mpaka alipiwe pango,na mimi kumpiga chini siwezi labda mpaka nionje utamu,si unajua mambo ya TBS?
 
Hahahahaaaaaaaa tema ni gumegume hilo bro, najua ushatoa za kusuka sana na kucha kutengeneza hah?.....
 

Hapo anamaanisha "HONEY NAKUPONDA SANA, NAKUPONDA KUWA NAWE...."


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Hahahahaaaaaaaa tema ni gumegume hilo bro, najua ushatoa za kusuka sana na kucha kutengeneza hah?.....

hahaaa...kama ulikuwepo vile,au kaka na wewe ndo upo kwenye nyakati kama hizi nn au ulishapita?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…