Wanaume ushawahi kukutana na mwanamke aliyefungwa sehemu zake kichawi? Pita hapa uone niliyokutana nayo ujifunze

Status
Not open for further replies.
Aiseeee hizo ni mpyaaa..mimi najuaga ile ya kuweka pini kwenye nywele za kichwani ili mwanaume asikojoe haraka wakati wa mgegedo...kumbe kuna mambo ya pete n vibanio duh
 
Kuna demu kamezeshwa paka wa kichawi. Wakati wa kugegedana kule chini Tukuyu nyau hufungua mdomo wake Na wewe Mbozi huungia kwenye mdomo wa nyau badala ya Tukuyu. Nyau huyo hukuachia mate yake yenye sumu Kali ambayo inakufanya upate gono sugu. Msichana huyu akigegedwa tu mahusiano hufa
Mhhh buji..chai hii
 
Hii ilishawahi kunitokea kwa msichana mzuri (nurse) tuliyependana sana. Huyu dada tulitaka kuoana na kwa vile alikuwa anafanya kazi mbali baada ya kumaliza chuo aliniomba nikakae kwake walau mwezi mmoja. Nakumbuka nilifika kwake alfajiri huku nikiwa nimetandikwa kweli na mvua kwan nilipelekwa na pikipik toka mjin. Alinifunika na mablanket na kunikumbatia kwa ham kubwa kwan tulikuwa hatujawah kufanya. Nilipojaribu kuingiza ni kama nilikuwa najaribu kuingiza kwenye jiwe, ngum haina mfano. Nilihisi huenda ni hofu ya kupata VVU , kwa hasira alfajir hiyo alienda kufungua dispensary na kuniletea box 3 za kondom, lakin tulijaribu mara nying kila siku kwa zaidi ya wiki 3 hali ikawa the same. Nakumbuka tulikuwa tunalia usiku kucha maana nataka nayy anataka lakn nikijaribu tu ni jiwe. Tulimwona daktari akasema sina tatizo. Kwa ufupi alinambia aliwah kuumwa na kupelekwa kwa mganga wa kienyeji ambaye alimwingilia. Niliahirisha kumwoa,,, usiombe hali iliyo nikuta ikukute
Hii kali sasa
 
Mshana Jr. Kuja huku utupe ufafanuzi
Hizi ishu zilikuwepo lakini kwa uchache sana na kwa sababu maalum... Kumfanyia hivyo binti yako ni kumzibia nyota yake... Hivi ni mzazi gani anaweza kufanya ujuha wa namna hiyo!? Hivyo wanaofanya hivyo ni kwa sababu maalum sana...
 
ilishahi kunitokea ila sizani kama alikua anahusika maana nakumbuka alilia sana akasema sina hisia na yeye...nafkiri ilikua kwasababu nlikua na mastress yangu alafu siku hiyo alikua very hot ..akanilazimisha tufanye
Hii nayo ni sababu muhimu sana japo wengine hutumia shortcut ya uchawi... Ikikutokea kama hivyo na kama ni uchawi kweli unafanya unautengua kwa kufanya mambo kinyume na mazoea shati unageuza nje ndani viatu kushoto kulia chupi mbele nyuma..
 
Hakuna lolote acha kupiga puli.
Ama labda Mshanajr aje athibitishe
Haya mambo hutokea ujanani kwenye story nyingi za kutishana japo yapo lakini ni kwa kiwango cha chini sana.... Na kinachosababisha kwa sehemu kubwa ni hofu tuu
Mziki kamii uko kwa wanandoa ambapo mkeo ana full access na wewe... Hivyo ana nafasi kubwa ya kukutengeneza... Ukiwa ndani mnara unasoma 4-5G, ukitoka nje muda mwingi network ina search na ikikamata ni E
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom