Wanaume..... Uchafu au uvivu?

Wanaume..... Uchafu au uvivu?

Mlasani

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
113
Reaction score
28
Poleni na mishemishe za siku wanajamvi!
Hivi kwanini wanaume tunakuwa wachafu kiasi hiki?????? hii ni kero kubwa sio tu kwa yule mtu wa karibu na mhusika bali hata jamii kwa ujumla. Utakuta mtu mzima kikwapa ndo hicho kinatema 'ASIDI'; kule kwenye 'angle' ndo usiseme!!! ni noumer!

Hebu tujiulize, mwanaume anapaswa kuwa na nguo ngapi za ndani? boxa au vyupi na singland! hii ni kwa sababu hizi ni nguo muhimu sana na shida yote inaanzia hapo. utakuta mtu ana boxa moja au mbili akijitahidi sana. hii ni sifa kubwa ya kutosha kumfanya mtu anuke. Mwanaume msafi walau unatakiwa kuwa na ch*pi au boxa kuanzia kumi (10) na singland vilevile! hii ni kwa maana kwamba kila unapooga basi unabadili. sio mtu unaoga na unairudia mara tatutatu.... halaaaaa!

Nywele nywele nywele....... au vuzi kwa lugha yetu ile. wanaume wengine wana miili inayotoa harufu maana utakuta mtu mzima amefuga msitu! kote yaani chini huko na vikwapani ni noma....... kama unapenda kuwa na nywele hizi basi shart uwa msafi!!!! hakikisha unaoga vizuri na unakausha fresh ikiwezekana apply hata manukato kiasi basi. sio mtu unakuwa na ufundo wa nywele chafu na utategemea nini kitokee kama sio bonge la harufu chafu inayokera watu.

Wanaume tubadilike bwana..... utamkuta mkaka kaulamba lakini laiti ukamfunua utakimbia. Nawapa pole sana wale wanawake wanaokutana na hii shuruba ya wanaume wachafu, hasa wale ambao ni wachafu kupindukia na wanadiriki kuacha jukumu la kufua nguo za ndani ambazo ni kero kubwa kwa wake zao au madada wa kazi. Haipendezi hata kidogo mtu kuwa mchafu!
 
Nawaonea huruma Madaktari wanaotibu wagonjwa wanaohitaji kuangaliwa maumbile yao!
 
hivi kati ya wanaume na wanawake ni wapi wanaongoza kwa uchafu wa mwili?
 
Mwanaume wa shoka hajisafi kama mwanamke....
Kwani hujui kwamba wanwake hupenda kile kijiharufu cha jasho la mwanaume..?

Na kwa taarifa yako hata zile nywele za kwapani na kunako kifanyio zina ladha yake katika mapenzi...

Ngoja waje wenyewe watakuambia.
 
usijitetee bwana.mimi naamini uchafu wa mtu ni uvivu na ni tabia.kama mzazi ukimfundisha mtoto wako majukumu ya usafi tangu akiwa mdogo haijalishi kama ni wa kike au wa kiume,huwa inasaidia.maana wapo wanaume ambao ni wasafi kupindukia
 
Mwanaume wa shoka hajisafi kama mwanamke....
Kwani hujui kwamba wanwake hupenda kile kijiharufu cha jasho la mwanaume..?

Na kwa taarifa yako hata zile nywele za kwapani na kunako kifanyio zina ladha yake katika mapenzi...

Ngoja waje wenyewe watakuambia.

ha!.....hebu huko......nani amekwambia tunapenda wanaume wanaonuka kama beberu.....? mwanaume unatakiwa unukie marham ya kiume........sio unajipulizia kikobra huku hujaoga........kimdomo hujapiga mswaki.......sitaki.....
 
Mwanaume wa shoka hajisafi kama mwanamke....
Kwani hujui kwamba wanwake hupenda kile kijiharufu cha jasho la mwanaume..?

Na kwa taarifa yako hata zile nywele za kwapani na kunako kifanyio zina ladha yake katika mapenzi...

Ngoja waje wenyewe watakuambia.

uchafu uwii
 
Bora hata uwaanbie jamani!!wengine wananuka mpaka mikojo!!ukikaa karibu yake utafikiri mbuzi
 
Mwanaume wa shoka hajisafi kama mwanamke....
Kwani hujui kwamba wanwake hupenda kile kijiharufu cha jasho la mwanaume..?

Na kwa taarifa yako hata zile nywele za kwapani na kunako kifanyio zina ladha yake katika mapenzi...

Ngoja waje wenyewe watakuambia.
Acha uchafu kaoge huko! unasifia vitu si vya kusifia!!,asante mtoa mada hilo ni tatizo sugu la baadhi ya wanaume aingia ofisini utafikiri beberu kaingia!!
 
Hahahahahahahahaha
hapa utawapoteza wengi!

Mwanaume wa shoka hajisafi kama mwanamke....
Kwani hujui kwamba wanwake hupenda kile kijiharufu cha jasho la mwanaume..?

Na kwa taarifa yako hata zile nywele za kwapani na kunako kifanyio zina ladha yake katika mapenzi...

Ngoja waje wenyewe watakuambia.
 
Mwanaume wa shoka hajisafi kama mwanamke....
Kwani hujui kwamba wanwake hupenda kile kijiharufu cha jasho la mwanaume..?

Na kwa taarifa yako hata zile nywele za kwapani na kunako kifanyio zina ladha yake katika mapenzi...

Ngoja waje wenyewe watakuambia.

we jidanganye,hayo mavichaka yenu hata hatuyafurahii we kayanyoe tu baba.
 
mie napenda jonsi mavuzi ya mwanamke yanavyonuka...full stimu
 
Msalani??? Ukiona mtu amekuwa msafi kiasi hicho hadi anajiita msalani, lazima ujue itifaki imezingatiwa. Ila umesisitiza kitu kizuri kwa wasiojitambua.

Poleni na mishemishe za siku wanajamvi!
Hivi kwanini wanaume tunakuwa wachafu kiasi hiki?????? hii ni kero kubwa sio tu kwa yule mtu wa karibu na mhusika bali hata jamii kwa ujumla. Utakuta mtu mzima kikwapa ndo hicho kinatema 'ASIDI'; kule kwenye 'angle' ndo usiseme!!! ni noumer!

Hebu tujiulize, mwanaume anapaswa kuwa na nguo ngapi za ndani? boxa au vyupi na singland! hii ni kwa sababu hizi ni nguo muhimu sana na shida yote inaanzia hapo. utakuta mtu ana boxa moja au mbili akijitahidi sana. hii ni sifa kubwa ya kutosha kumfanya mtu anuke. Mwanaume msafi walau unatakiwa kuwa na ch*pi au boxa kuanzia kumi (10) na singland vilevile! hii ni kwa maana kwamba kila unapooga basi unabadili. sio mtu unaoga na unairudia mara tatutatu.... halaaaaa!

Nywele nywele nywele....... au vuzi kwa lugha yetu ile. wanaume wengine wana miili inayotoa harufu maana utakuta mtu mzima amefuga msitu! kote yaani chini huko na vikwapani ni noma....... kama unapenda kuwa na nywele hizi basi shart uwa msafi!!!! hakikisha unaoga vizuri na unakausha fresh ikiwezekana apply hata manukato kiasi basi. sio mtu unakuwa na ufundo wa nywele chafu na utategemea nini kitokee kama sio bonge la harufu chafu inayokera watu.

Wanaume tubadilike bwana..... utamkuta mkaka kaulamba lakini laiti ukamfunua utakimbia. Nawapa pole sana wale wanawake wanaokutana na hii shuruba ya wanaume wachafu, hasa wale ambao ni wachafu kupindukia na wanadiriki kuacha jukumu la kufua nguo za ndani ambazo ni kero kubwa kwa wake zao au madada wa kazi. Haipendezi hata kidogo mtu kuwa mchafu!
 
msalani.. Natamani huu ungekuwa ujumbe maalumu kwa wenye tabia hyo wajirekebishee!

Na leo mmejisemea wenyeweee aaaa.. Bravooo man!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom