Wanaume Tuweni Makini Sana!

mdogo wangu siku hizi nimeamua kuwa mpole sana nimechoka kuona nyuzi zenye utoto.

jiulize vim iekwe ukeni halafu eti itoe povu kweli haya?? kwann ute tu ulioko ukeni usiitoeshe povu?? haya ueke sabuni ya magadi hivi huyu mtoa mada anaakili??

alishawah kujiuliza swali hili?? kwann wana wake hawafanyi punyeto kwa kutumia sabuni kama akina kaka?? akiwza kujijibu swali hili atjua kwann njia aliyosema ya kueka hayo makitu i uongo ama kalishwa kasa.

..nakupa like ya maandishi pia lol, nianze tu kuweka sijui vim, masabuni sijui matakataka gani ..kisa cha kuiunguza papuchu yangu!!
 
WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj za kiburugwa,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchangany-iko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...BEWARE na hizi bikira za makuti!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
waliokukataa mwaka huu watakoma!
 
mdogo wangu siku hizi nimeamua kuwa mpole sana nimechoka kuona nyuzi zenye utoto.

jiulize vim iekwe ukeni halafu eti itoe povu kweli haya?? kwann ute tu ulioko ukeni usiitoeshe povu?? haya ueke sabuni ya magadi hivi huyu mtoa mada anaakili??

alishawah kujiuliza swali hili?? kwann wana wake hawafanyi punyeto kwa kutumia sabuni kama akina kaka?? akiwza kujijibu swali hili atjua kwann njia aliyosema ya kueka hayo makitu i uongo ama kalishwa kasa.
Huo ni mtazamo wako mkuu uwe negative ama positive nitauheshimu,,Tembea uone kaka
 
Kuoa bikira ni sawa na kumfumbua macho kipofu,akifanikiwa kuiona mbalamwezi atakusahau hata wewe ulomfumbua macho!..sishauri mtu aoe bikira maana akishajua tamu ya dushelele muoaji atajuta!
 
me love you banaaaaaaaaa acha tu, huwa unanikosha mno.

Kwa kusema uongo???!

Mbona bikra zipo tu za ukweli hata kwa maplayer...mabinti wa siku hizi kama vile hawakulelewa kwao...yano wao kusema HAPANA ni kama haipogo kwenye kamusi zao.

Hapa ni kugegeda tu kwa kwenda mbele...ndoa mbali sana hukooo wa kutafuta wa kulea watoto tu si mapenzi!!!
Cc: mzabzab
 
Last edited by a moderator:
wanaume,tuweni makini na bikra feki...wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa washirikina kwa kwenda kwa waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama bajaj za kiburugwa,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...ogopa sana!
Siku ya kufanya mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye msiba wa kinyakyusa....utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia ndimu,mchangany-iko wa parachichi na tikiti maji,sabuni ya kaisiki na vim ya kuondolea harufu chooni...ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...beware na hizi bikira za makuti!

Sent from my blackberry 9900 using jamiiforums
mjini shepu na sura tabia na bikra katafute kijijini kwenu
 
WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj za kiburugwa,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchangany-iko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...BEWARE na hizi bikira za makuti!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

aiseeee......:shut-mouth:
 
ushaibiwa wewe!!
hao wanaofanya hivyo washamba...mm ndio nakutana na mtu ambaye naona hapa maisha yapo, mbona utajuta kunifaham...segere nitakalomchezesha ataomba POOO...kudadadeki...
nikamulie ndimu ninawie shabu ya nini???ili unione mtakatifu inisaidie nini wakati wewe si mwanaume wangu wa kwanza...
 
Back
Top Bottom