mtoa mada ni wapi huko nikalishuhudie hilo vumbi la kwenye uke!
Ndo umebalehe jana?
Yaani watoto bana, akijifunza kuchinja kifaranga basi anadhani hata simba anachinjwa hivyo hivyo
mdogo wangu siku hizi nimeamua kuwa mpole sana nimechoka kuona nyuzi zenye utoto.
jiulize vim iekwe ukeni halafu eti itoe povu kweli haya?? kwann ute tu ulioko ukeni usiitoeshe povu?? haya ueke sabuni ya magadi hivi huyu mtoa mada anaakili??
alishawah kujiuliza swali hili?? kwann wana wake hawafanyi punyeto kwa kutumia sabuni kama akina kaka?? akiwza kujijibu swali hili atjua kwann njia aliyosema ya kueka hayo makitu i uongo ama kalishwa kasa.
nakumbuka nilipokua mdogo mabinti wa pale mtaani kwetu walikua wakiolewa sehemu nyingine zinakuja tetesi eti kakutwa ni bikra wakati mtaani kwetu watu walipitia sana mi nimeshuhudia vurugu kati ya mke na mme mke pindi ameolewa alikutwa bikra baadae ikagundulika kua yule dada alikua amesha za na mwaume mwingine mkoani kwao
WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj za kiburugwa,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchangany-iko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...BEWARE na hizi bikira za makuti!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Backwards societies are almost invariably characterized by a disproportionately overzealous preoccupation with unrealistic quests for fabulous chastity.
mh! Sasa mkuu hapo hiyo english yako imeniacha mbali mie product ya senti kayumc na hata dictionary sina. Najua wengi wamepotea hapa ila wameuchuna. Anyway ngoja nikatafute dictionary maana hapa niko bize na dayari nakopi huu uzi.
We unayetaka bikira, je na wewe ni "bikira wa kiume"?
Mh!! hilo nalo ni neno kwa kweli, ila mie nadhani bikira yabidi iendane na hata usafi wa fikira na sio kuwa na papuchi sealed pekee,kwani wapo wanaodai kuwa ni mabikira na wakati wamefanya sana oral sex na wengine 0713 ila papuchi bado kuguswaKutafuta bikira ya mwili bila kujali mengine ni ufinyu wa mawazo.
Bikira ni zaidi ya hali ya kitundu cha haja.
Mdada anayeuza picha za uchi kwenye internet na ana hotline ya phonesex, kila siku anahudumia wateja kwenye simu, ambaye kimwili hajaguswa ni bikira au si bikira?
huo ni mtazamo wako mkuu uwe negative ama positive nitauheshimu,,tembea uone kaka
Ahsante sana mkuu, ngoja nikanunue beseni.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj za kiburugwa,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchangany-iko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...BEWARE na hizi bikira za makuti!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
vitu vingine muwe mnauliza basi kabla ya kupost labda nikuulize swali kwann mwanamke hatumii sabuni kama anafanya punyeto??
Pia vim inatumia chemicals gani kwenye composition yake?? Je je vim parachichi na tikiti maji ni compatible ama sio??
Kwa jaribio dogo tu fanya hivi kata tikiti weka kwenye glas na parachichi lililomenywa kisha weka sabuni yyte ya magadi ndani yake halafu ueke vim koroga sana vichanganyike kabisa kisha mimina kiasi juu ya ngozi yako uniambaie nini kitatokea. Kisha chota kidogo weka kwenye jicho lako utaniambia nini kitatokea. Halaf hapo ndipo utakuja na huu mjadala vzr.
So far kama unaoa bikra tu ukasahauutu wa ndani bado wewe uko karne ya zilipendwa
siyo kosa lako hata user name yako inareflect your thinking capacity