Curious Naturally
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 528
- 523
mmmmmh...mm mbona mzuri sana tu na sijawahi kuambia na boyfriend ila huwa napata hizo sifa kwa watu wangu wa kawaida tu,je kuna tatizo hapo au anaogopa kunisifia?
me naona ni m'baya kuliko Ata avatar yanguwewe mbaya ka soli ya kiatu
me naona ni m'baya kuliko Ata avatar yangu
Ha ha ha sura mbaya kama kalio
Ha ha ha sura mbaya kama kalio
Wanaume wengine tunasema tu lkn hatumaanishi
Hahaha kama huyo itabid umwambie "kumbe unajijua we ni m'baya eeh" af kwanzia hapo sasa kumsifia inakua mwikoFrankly speaking, kuna wengine hata kuwaambia unaogopa! Because you know anajua utakuwa unamdhihaki; humaanishi!
Hujawahi kuona upo nae may be mnaangalia video; akiona msichana mzur anakuambia 'huyu ndio mzuri'
Pia, hata mwanamke awe mbaya vipi lazima awe na mwanaume tu!! Kuthibitisha hilo wapi ulisikia mwanamke kafa na miaka 40 then kafa na bikra (siyo watawa)?? So, unayemwona mbaya wewe kwa mwenzio mzuri na kafa kaoza na ukiwakuta faragha anamsifia mkewe/mpenziwe mwanzo mwisho!!
Hahaaaaa! Tena lililo kama flat screen!
Ha ha ha acha kusema makalio ya watu
Hahaaaa! Basi, sintorudia tena
nikipendeza huwa ananisifia,ila kinachonitatiza kwann hajawahi kunisifia hata siku moja kuwa mm mzuri,na kumbuka sio kwamba nataka sifa ambayo sio yangu,mm kwa uzuri ni mzuri sanaa tu wala sio kidogo..