Wanaume tuwe na huruma

unauhakika gani kuwa hiyo ni mimba?
ukiona binadamu yeyote yule kavimba tumbo, fikiria vitu vitano vinavyoanza na F...............
1. Fetus.
2. Feaces.
3. Fat.
4. Fluid.
5. Flatus.
Na kila kimoja kina kipimo chake, CLINICALLY.
Kweli umenifanya nifikirie pia. Huyo mtoto hana hata tumaziwa bado mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…