Wanaume tuwe na huruma

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yaani naapa HAKI YA MUNGU siku nimfume MTU MZIMA ambaye umri wake hauendani na
binti yangu tena binti wa shule sitasubiri mahakama NITAUA TU!
Hata mama simba mkalii,lakini binti yake kazalishwa![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] natania mkuu
 
Yaani naapa HAKI YA MUNGU siku nimfume MTU MZIMA ambaye umri wake hauendani na
binti yangu tena binti wa shule sitasubiri mahakama NITAUA TU!
Binti yako ana umri gani kwani?na unaishi nae wapi?
 
Yaani naapa HAKI YA MUNGU siku nimfume MTU MZIMA ambaye umri wake hauendani na
binti yangu tena binti wa shule sitasubiri mahakama NITAUA TU!
Utaishia kutetemeke tu akiondoka ndio unaenda kumpiga mwanao na mkeo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…