Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,510
- 9,349
Jamaa ana roho ngumuKaribu tule mafenesi
Kwamba wewe mgumu sio hutetereki?Huyo atakuwa mgeni kwny mji huu wa mpenzi
Aisee...huyo mdada nae..eti sili nakonda kwa ajili yako...tehee teheee
Huwa inachukua muda kiasi na gharama kiasi kumtongoza mtoto mzuri na kuja kufanikiwa kumuweka mikononi...
Mara nyingi tukishawaweka chini ya himaya zetu, tunawachukulia poa...hatuwapi tena attention ya kutosha..
Kumbuka ulipomtongoza, pengine alimuacha jamaa yake anayempenda akaja kwako, kisa ulikuwa na swaga za kishua na za kibabe.
Please men, tusiwe kama DAVIE hapa..
Hawa watoto wazuri nao wana mioyo ya nyama..
Machozi yao yatakuwa laana kwetu, halafu tutateseka..
Nawapenda sana wanawake..
View attachment 1177856
Aisee...
Wewe humuomei mrembo mwenzako huruma..??
Yarabi tobaaaaa
Me nadhani kampeni lazima ziendelee kama unampenda na umeamua kumuweka ndani akupikie, akuzalie watotoHakuna tena campaign baada ya matokeo ya uchaguzi,ukiielewa hiyo haitakusumbua mkuu
Duuuuu uwo ni ukauzu zaidi ya dagaaaaHuwa inachukua muda kiasi na gharama kiasi kumtongoza mtoto mzuri na kuja kufanikiwa kumuweka mikononi...
Mara nyingi tukishawaweka chini ya himaya zetu, tunawachukulia poa...hatuwapi tena attention ya kutosha..
Kumbuka ulipomtongoza, pengine alimuacha jamaa yake anayempenda akaja kwako, kisa ulikuwa na swaga za kishua na za kibabe.
Please men, tusiwe kama DAVIE hapa..
Hawa watoto wazuri nao wana mioyo ya nyama..
Machozi yao yatakuwa laana kwetu, halafu tutateseka..
Nawapenda sana wanawake..
View attachment 1177856
Kwa experience niliyonayo mwanamke unayempenda saana anakuchukulia kawaida..... utampenda weee hata kuambiwa unapendwa analazimisha.Nkija pata dada wakunipenda Noah dahhh
Libalikiwe sana tumbo litakalo beba mimba yangu......naiona furaha yake...
Huwa inakuwa hivyo sijui kwa nini...Kwa experience niliyonayo mwanamke unayempenda saana anakuchukulia kawaida..... utampenda weee hata kuambiwa unapendwa analazimisha.
Sijui kwanini labda mzoefu RRONDO atatusaidia kama naye alishaona hivyo.
Sasa hapo maana yake si moja tu, HUPENDWI. Kuendelea kulazimisha ni tatizo lako.Kwa experience niliyonayo mwanamke unayempenda saana anakuchukulia kawaida..... utampenda weee hata kuambiwa unapendwa analazimisha.
Sijui kwanini labda mzoefu RRONDO atatusaidia kama naye alishaona hivyo.
Tatizo huwezi kumpenda mtu kisa anakupenda.Huwa inakuwa hivyo sijui kwa nini...
Ila mtoto wa kike akikupenda, aisee mpende tu...atakupa vitu ambavyo huwahi kuwaza...
Mgeni au mtoto au vyote.Huyo atakuwa mgeni kwny mji huu wa mpenzi