Wanaume tuu!!!

Kama ni Ustaadhi OA mke wa pili ambae hana kazi yeye zamu yake itakuwa uwapo safarini!!!
Kama ni Mkiristo safi kumbuka kiapo cha kanisa na AMRI za MUNGU. Acha tamaa mbaya bulaza!!!
 
I am the way the truth and the life: No one come to the Father except through me, he said these words of Jesus himself. Friends come to Jesus in a safe way to come down to him, the world passes away and his affair, the Almighty bless you considering these terms.
 
kama sio mtu wa imani sana za kidin mvutie hisia mkeo hukohuko aliko halafu piga punyeto.hiyo ndio njia salama ya kukuepusha na ukimwi.
 
Muombe mungu atakusaidia. Ila ujue kumsariti mkeo itabaki kuwa ni kosa na kumbuka, chochote umfanyiacho mwenzio na wewe utafanyiwa vile vile
 

Engeza bidii katika hizo mbinu unazotumia za kukuwezesha kufika mwezi na nusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…