Wanaume tutafute pesa

Wanaume tutafute pesa

Mm huwa nasema hata ndoa bila pesa ni kujidanganya, lazima itavunijka tu
 
Ni kweli tutafute pesa ili huko baadaye tuwe na uhuru wa kifedha
 
Pole mkuu..Mimi mume wangu akiyumba huwa namwambia aache kupanic tunakuwa tunasurvive na za kwangu wakati yeye anajiweka sawa
Then after a while na yeye anakuwa stable tena tunaendelea na maisha. Kunyanyasana mwiko.
Safi sana, your such a true definition of wife material, nami ntakuiga
 
Back
Top Bottom