Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,575
- 31,013
Ukiambiwa Nina boyfriend ujue huna hela, wenye pesa hawaambiwi hata akiuliza watajibiwa nilikuwa nae ila tumeachana kumbe kaolewa.
Tafuteni hela mwanamke hakai mbali na simu
Tafuteni hela mwanamke hachok usiku
Tafuteni hela uache kulala na gesi chumbani
Tafuteni hela mb 500 sio za kutumia wiki nzima.
Tafuta hela huna ndugu wachache hivyo.
Tafuta pesa Wema Sepetu yupo single
Tafuta hela kuku ana vipande vinne tu
Tafuteni hela Marekani sio mbali
Tafuta hela uache kaumbiwa Kata simu Kuna mtu anapiga
Ebu ongeza ya kwako tucheke