Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,276
- 18,353
Labda Kama huna nafsi inayokusuta mkuucha kufanya hapo ni kuwa mbabe tu
usimpe nafasi ya kuongea chochote
kata vibao vya kutosha
mwanaume kichwa cha familia bhana!
Kwanza kabisa kama nimempa nyumba au nimemfungulia acc bank naamisha mpunga wote kwenye account yanguWakuu habari za leo.
Kwakua wengi humu mmewahi kuchepuka na mnachepuka kwa sababu mbalimbali kama wake zenu kua mbali, wengine tamaa na wengine wanachepuka bila sababu.
Sasa tupeane shule hapa, imagine ndio umechepuka au umekua ukichepuka kwa sababu za mwizi ni arobaini ndo mkeo kakudaka pengine kupitia simu yako au amekudukua (tracking) na akapata evidences zote yaani evidences beyond doubt, sasa akaleta evidences kwako na ukaona kabisa anachozungumza ni kweli.
Nauliza Sasa kipi bora kukubali kosa na kuomba samahani au kubisha ili uonekane hauhusiki na tuhuma?
Kipi ni bora eti wanaume wenzangu tushauriane maana hata uwe unajua mambo mengi ila bado hauwezi kujua kila kitu.
Ambao hamna ndoa pia mnakaribishwa.
Huu uzi sio uzi wa povu wakuu, ni uzi wa kawaida tu.
Unadhani kumuacha mchepuko ni rahisi kiasi hicho?Unakataa na halaf unasitisha kuchepuka
Unadhani kumuacha mchepuko ni rahisi kiasi hicho?
Mchepuko unanoga hatari asikwambie mtu
Hujajua tofauti Kati ya penzi la kuiba iba na penzi lisilokua la kuiba.Kama unanoga uoe
best nimekumiss!heri ya mwaka mpya!Mkatie Bima ya maisha (Life Insurance) halafu nenda nae Mikumi mkawatembelee na kuwasabahi Simba (Utalii wa ndani). Kifuatacho tutaona kwenye kipindi cha Bango TBC au kile cha Yu Wapi? ITV.
Utakuwa ni bachelor wewecha kufanya hapo ni kuwa mbabe tu
usimpe nafasi ya kuongea chochote
kata vibao vya kutosha
mwanaume kichwa cha familia bhana!
kwani wewe ni machelor?Utakuwa ni bachelor wewe