Ile game abubakar sidiki"titi" camara anatuzamisha ze gunners pale highbury nilikuwa sijui nifurahi ama nilie. Steven gerrard bado kijana mdogo kabisa.
"Wanaume tubadilike Kama wenzetu jinsia ya pili ilivyoamua kubadilika yaani kuanzia leo tunaoa kwa mission maalumu na haya mambo ya shida na raha tuwaachie babu zetu."