pasua anga Member Joined Jan 7, 2017 Posts 26 Reaction score 13 Mar 6, 2017 #1 *Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia. [Wanaume wa Dar Bwana].*
*Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia. [Wanaume wa Dar Bwana].*
successor JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 3,084 Reaction score 6,155 Mar 6, 2017 #2 Subiri kidogo, uvune ulichopanda
Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,474 Mar 6, 2017 #3 pasua anga said: *Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia. [Wanaume wa Dar Bwana].* Click to expand... Mkuu uliishia la ngapi?
pasua anga said: *Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia. [Wanaume wa Dar Bwana].* Click to expand... Mkuu uliishia la ngapi?
C Chige JF-Expert Member Joined Dec 20, 2008 Posts 13,493 Reaction score 29,885 Mar 6, 2017 #4 Aliyekuwa analia ni mwanaume wa Kolomije bhana! Dar yenyewe kaingia hata daraja la Manzese limeshajengwa !!!
Aliyekuwa analia ni mwanaume wa Kolomije bhana! Dar yenyewe kaingia hata daraja la Manzese limeshajengwa !!!
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,191 Mar 6, 2017 #5 Msukuma mwenzio huyo. huyo Mwanaume wa mikoani kama wewe
K Kenge wa dondo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2016 Posts 263 Reaction score 169 Mar 6, 2017 #6 mzaramo said: Msukuma mwenzio huyo. huyo Mwanaume wa mikoani kama wewe Click to expand... Huyo unayemuita mwanaume wa Dar, muulize ana krismas ngapi mjini?
mzaramo said: Msukuma mwenzio huyo. huyo Mwanaume wa mikoani kama wewe Click to expand... Huyo unayemuita mwanaume wa Dar, muulize ana krismas ngapi mjini?
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,208 Reaction score 18,226 Mar 6, 2017 #7 Bashite hawezi kuwa mwanaume wa Dar. Ameingia mjini kwa mbwembwe na sasa analia
Emc2 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 16,808 Reaction score 16,951 Mar 7, 2017 #8 Kibao kikigeuka msianze kulialia.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Mar 7, 2017 #9 Wakuja alikuja. Wakuja ataondoka.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,303 Mar 7, 2017 #10 Kicheko cha nje hakiashirii yaliyopo moyoni. Usiusemee moyo wa mwenzako
Emmadogo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,126 Reaction score 3,779 Mar 7, 2017 #11 Huyo ni msukuma wa kolomije sio wa DAR