Poa poa mkuu nitafanya hivyoKweli mkuu hz ID zinaficha mengi, lkn nadhan ungefatilia coz mnafanana sana content-wise(Uandishi wa makala zenu)
Nina imani utapata mwanamke mwenye tabia kama zako...mtu hupewa anachostahili
Ukimwi uko radion tu mkuuDah bro umeisha pale ukimwi nje nje pole ugumu umekuponza
Sent from my iPhone using JamiiForums
AiseeDah mkuu acha kabisa juzi kati nimebutua manzi kwa buku tano tuu. Ila alikuja geto mwenyewe siyo Malaya. Leo nimekuja kugundua kumbe ni mke wa mtu. Nimemchana live nikamfungia na vioo kila kona. Na hiyo buku tano ni nauli ya kurudia tuu dah nimechoka *****.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaenda kuoa kijijin mkuuNina imani utapata mwanamke mwenye tabia kama zako...mtu hupewa anachostahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipigwa na wewe piga!
Hii ni piga nukupige
Zaburi 53.1 MPUMBAVU AMESEMA MOYONI MWAKE HAKUNA MUNGU
Ukiwa mgeni sehemu tafuta wenyeji mapema hata Kwa ku-pm.. Au unauliza maana kuuliza sio ujingaWewe mwenyeji sana huko. Kuna kipindi nilikuwa nashinda mitaa hiyo jioni nikitoka kwenye harakati za mtu mweusi ila sikuwahi jua kuwa kuna wajasiriamali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa niniHivi upuuzi kama huu ni wa kujisifia kabisa mbele ya kadamnasi.
Mkoa gani huo ulimchapaDah mkuu acha kabisa juzi kati nimebutua manzi kwa buku tano tuu. Ila alikuja geto mwenyewe siyo Malaya. Leo nimekuja kugundua kumbe ni mke wa mtu. Nimemchana live nikamfungia na vioo kila kona. Na hiyo buku tano ni nauli ya kurudia tuu dah nimechoka *****.
Sent using Jamii Forums mobile app
UsimtisheNina imani utapata mwanamke mwenye tabia kama zako...mtu hupewa anachostahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijamtisha..nimemwambia ukweli kama ulivyo...kama yeye ananunua Malaya hovyo hovyo anategemea kupewa mwanamke aliyetulia? He will be given what he deserves.
Kwenye hako kagest mkuuBeira Boy,kumbe uko mwanza na unanufaika na huduma pendwa ya pale mabaitini stand upande Wa kuja mjini kwenye kale ka geust hapo ka kijivu.au uliwachukulia gereji huku???
Sent using Jamii Forums mobile app