Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 397
- 602
- Thread starter
-
- #21
Mwanamke akiku DM atakuombaje hela sasa?
Ebu fikiria wanawake 20 wakutake halafu wote wakuombe hela za gas, screen ya simu,, Kodi, Bibi mgonjwa NK wewe utafanyaje? Ndo maana hawaji wanataka wewe utongoze wakuombe hela.
Kwahiyo mpenzi wako aliweka tangazo la kutafuta mwanaume๐คHujawah hata kuangalia dm ya mpenz wako?
Unaonaje kwa DM za ke?
Tunamfatilia.
Sema Wanaume ni watumwa wa ngono kuliko nyie akinamama....
Wanaume wako na maujinga mengi
Ametuzoea sana enough is enough.๐คฃ๐คฃ๐คฃ ila chiwawa anatia huruma.
Kuwa mwanamke tuu uone si approach bali kutongozwa hadi uchokeMfano mimi nikija hapa nikapost:
โNatafuta mwanamke wa kujenga naye maisha, mwenye malengo na anayejua anachotaka. Aliye serious ani-DM.โ
Inawezekana kabisa DM yangu ikawa kavu kabisa .
Lakini mwanamke akipost kitu kama:
โNatafuta mwanaume wa kujenga naye maisha.โ
Mara nyingi utaona comments na DM zikimiminika mpaka unajiuliza, hawa wanaume wote wametoka wapi?
Sasa swali langu ni:
Kwa nini mwanamke mmoja anaweza kupata approaches nyingi sana kutoka kwa wanaume, wakati mwanaume akijitangaza kutafuta mwanamke anaweza asipate response hata moja?
Je, ni kwamba wanaume ndio wengi wanaotafuta, au kuna sababu nyingine kama wanaume kutotambua thamani yao kwenye dating market?
Wanaume na wanawake, hebu tuambiane ukweli bila kuoneana aibu.
Ila binti kiziwi bwana๐คฃ๐คฃ๐คฃAnasema pia kuwa umetuzidi uzuri na wala huringi hapo vipi?View attachment 3683077
Hahaha wame pita nao pia?Ametuzoea sana enough is enough.
Uzi wa min me naona haupo
Mimi huyu!!!!!Ila binti kiziwi bwana๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nakuomba kwa pm tafadhali, usipo kuja maneno ya mleta mada atakuwa sahihi,
Ni kweli.kuwa mnaringa na uzuri hamna kabisa yaani mnachoringia haipo kabisa.
Waambie wananidai beer ๐Anyways shukuruni sana kwa vile mod aliye kitengo leo wanafuta nyuzi kama njugu
Kaangalie tulikuwa tumekubomb na ballistic weapons. Umeshambuliwa kama mpira wa kona ๐๐ป๐๐ปHahaha wame pita nao pia?
Usione nawakandia wenzio ni kwasababu unanitesa sana, unakuwa mchoyo wa fadhila pamoja na kukuandikia uzi ila bado your ego stops you from loving me??Mimi huyu!!!!!
Ni kweli.
Waambie wananidai beer ๐
Kama ni hivyo mbona mods waliufuta uzi?Kaangalie tulikuwa tumekubomb na ballistic weapons. Umeshambuliwa kama mpira wa kona ๐๐ป๐๐ป
Jamaa gani katutrendisha wakati selfika haina password yeyote anaweza kuingia, pia JF haina restriction ya screenshot so tunajua tukiweka picha wengine wana screenshot wanahifadhi?Usione nawakandia wenzio ni kwasababu unanitesa sana, unakuwa mchoyo wa fadhila pamoja na kukuandikia uzi ila bado your ego stops you from loving me??
Do you think you are that spesho?
ILa yote kwa yote namshukru jamaa aliye watrendisha kwa kweli ametutua mzigo mkubwa sana๐
Njoo pm mke wangu mtarajiwaJamaa gani katutrendisha wakati selfika haina password yeyote anaweza kuingia, pia JF haina restriction ya screenshot so tunajua tukiweka picha wengine wana screenshot wanahifadhi?
Is this even a breaking news, Come on bana!
Mpaka tupigane kwanza apatikane mshindi panga uwanja.Njoo pm mke wangu mtarajiwa
Tutapigana kwa bedi na nitakuachia ulingo sawa mke wangu mtarajiwa?Mpaka tupigane kwanza apatikane mshindi panga uwanja.
Kwahiyo mpenzi wako aliweka tangazo la kutafuta mwanaume๐ค