...mfano upo tayari mkeo, dada yako au mpenzi wako apakiwe kwenye pikipiki kwa mtindo wa mwendesha pikipiki kuwa nyuma yake?
Weka hayo madhara basi
kuna wakati na mimi natamani kuwa dereva wa bodaboda ili nipakie wanawake tu.
mie nina mwaka wa 5 sasa napanda bodaboda kwa nyuma kwenda uko kijijini kwetu....lazma nipande asubuh na jioni....lakini iki unachosema sijawahi kukipata hata siku moja........
Anza kupanda kwa mbele, dereva nyuma yako kisha uje hapa.
Hivi Duniani kuna starehe kushinda hiiwewe unagenye leo