Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
Nahisi kama kila mwanamme ndiye angeamua wa kumpa ubavu wake siku ya uumbaji... wangu najua ningempa nani...ya kujitakia
We uoni ney wa mitego huyo mkuuNn kinakutesa apo
Yangu macho mkuuUnakula kwa macho tu inatosha kwanin uteseke
duh!!! vizuri vinanipita, ngoja nikauze shamba langu Mwaneromango😱😱😱😱🙁
Angalia mkuu, milupo hiyoduh!!! vizuri vinanipita, ngoja nikauze shamba langu Mwaneromango😱😱😱😱🙁
Nahisi kama kila mwanamme ndiye angeamua wa kumpa ubavu wake siku ya uumbaji... wangu najua ningempa nani

Kweli mkuu...ya kujitakia