Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,897
- 3,706
Aisee! Wanaume tumebaki wa chache sana.
wiki kama moja hivi nyuma nimepanda daladala LA kawe nikakutana na jamaa kapaka rangi za kucha (baada ya tafiti yangu isiyo rasmi nikagundua zinaitwa "jelly")
hivi wanaume mbona tunapukutika kwa kasi kubwa sana ? Nini tatizo?
kuna mwengine nae ni msanii wa bongo fleva anajiita nedy music, eti nae alikuwa analipiza kisasi kufanya vitu vya kike kisa wanawake wanavaaga suruali zao.