Wanaume tuliweke sawa hili Jambo

Hivi idadii ya wanaofikri kwa undanii inapunguaa Sana'a ,,tatizo broilers sanaaa ....mwanamkee yupii unayemtunzaa ...
Wanaumee tunaojitambuaaa tunatunzaa mkee sio hawa show off ..
Wewee bado mvulanaa aseee tunzaa mke hawaa tutakupigiaa
Women comes with many factors in relation not your money

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na chombo kipyaa [emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulivosema hapo awali,Ni vema Kila mtu abaki na perceptions na kanuni zake linapokuja swala la mapenzi .
Binafsi,,mke TU ndio naweza kuhudumia,nasisisitiza mke TU,,

wengine watahudumiwa na wazazi wao,

Na ikiwa ataona Mimi sifai kwa kukataa kumuhudumia ,awe huru kutafuta anae mfaaa


Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Na wewe utapewa tendo na mkeo tu, vinginevyo mpaka uoe au watapewa wahudumiaji, ni formula rahisi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujanja sio kuhonga wala nini but unaweza honga lakini bado wanaume wanakulia mzigo na hawatoi pesa youote.. kinacho matter hapo ni content ya uongo wako mdomon na ujanja ujanja tu. Ukiweza hivo utawala sanaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sawa mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…