Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Unakuaje na demu afu umtunzi? Huo ni uboya aisee....
Mkuu upo tayari kugongewa? Kama hautunzi basi kubali kuwa na mtunzi mgongaji....japo sio kila demu wa kuhudumia.Tumesema kila mtu abaki na imani yake mapenzi hayana formula jmn hamskii
Kila mtu abaki na itikadi zake na perceptions zake, kama huna pesa Tafuta pesa ili ugharamie [emoji1491]
Mkuu upo tayari kugongewa? Kama hautunzi basi kubali kuwa na mtunzi mgongaji....japo sio kila demu wa kuhudumia.
Sitaki kushare mapenzi...nitatunza ili niwe na haki ya kumiliki...kama hamilikiki basi anifai..kuna vya kushare mkuu sio hizo makitu.Kati ya kuwa mtunzaji au mgongaji we ungechagua upande upi..?
Sitaki kushare mapenzi...nitatunza ili niwe na haki ya kumiliki...kama hamilikiki basi anifai..kuna vya kushare mkuu sio hizo makitu.
Ndo maaana nimesema kama amilikiki hanifai bro...afu sio kila demu anachepuka mkuu wapo ambao ni royal na wapo ambao ndo hivyo tena....Tafuta bikra ndio umfanye awe wako mkuu sio hawa wakubwa hata ukimpa million kumi atachepuka tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maaana nimesema kama amilikiki hanifai bro...afu sio kila demu anachepuka mkuu wapo ambao ni royal na wapo ambao ndo hivyo tena....
Sitaki kushare mapenzi...nitatunza ili niwe na haki ya kumiliki...kama hamilikiki basi anifai..kuna vya kushare mkuu sio hizo makitu.
Mkuu upo tayari kugongewa? Kama hautunzi basi kubali kuwa na mtunzi mgongaji....japo sio kila demu wa kuhudumia.
Sawa mkuu..Me namwamini na namuhudumia na mauongo yakeKwa iyo ndo anavokudanganya kuwa hana mwingine [emoji15][emoji848][emoji23][emoji23]unajidanganya mkuu ni 1000 kwa 1