Kweli kabisa, Mke mmoja hatoshi kabisa....Juzi nilikuwa kijiwe fulani na wazee, wazee wa wawili wakawa wanataniwa na wazee wenzao eti waende kupika. Baadae nikagundua kuwa wale wazee wake zao hawapo wameenda kwa watoto wao hivyo wanaishi peke yao.
Hili suala limenifikrisha sana nimeona Kuna haja ya mwanaume kuwa na wake kuanzia wawili, maana kumekuwa na hulka ya wa mama kwenda kwa watoto wao, huku nyuma anakuacha unapigwa na baridi na kujipikia mwenyewe, ukiwa na wake wawili mmoja akiondoka unapata msaada kwingine maana hii tabia ya wamama kwenda kwa watoto wao Imekuwa too much Sasa yaani anaweza kukaa huko hata miezi kadhaa bila kujali amemuachaje mme wake.
Lakini pia faida ya kuoa wake wawili na kuendelea kunapunguza stress, maana ukiwa wanawake wengi mmoja akikufanyia gubu unapata comfort kwa mwingine.
Ndio maana walioa wanawake wengi wanaishi miaka mingi sana.
Mimi sijaoa ila ninapika mwenyewe kwahyo nikioa akaondoka ntapika mwenyewe pia... Kitu kingine kizuri nikua sikaagi kijiweni kwahyo sitataniwa
π¦ππππ
Ukiwa hujaoa ni kawaida sana ila ukioa mambo hubadilika ghaflaMimi sijaoa ila ninapika mwenyewe kwahyo nikioa akaondoka ntapika mwenyewe pia... Kitu kingine kizuri nikua sikaagi kijiweni kwahyo sitataniwa
[emoji65][emoji23][emoji16][emoji23][emoji3]
πππMimi sijaoa ila ninapika mwenyewe kwahyo nikioa akaondoka ntapika mwenyewe pia... Kitu kingine kizuri nikua sikaagi kijiweni kwahyo sitataniwa
π¦ππππ
Ukiona mke anasahau mume anaona heri akakae kwa wanawe ujue mume kimeo kinamtesaJuzi nilikuwa kijiwe fulani na wazee, wazee wa wawili wakawa wanataniwa na wazee wenzao eti waende kupika. Baadae nikagundua kuwa wale wazee wake zao hawapo wameenda kwa watoto wao hivyo wanaishi peke yao.