Lee Cho in JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 941 Reaction score 693 May 12, 2015 #21 unasemajeee?
Mr Eggo JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 2,027 Reaction score 1,052 May 12, 2015 #22 Napenda iyo kitu ila mke wa mtu '"NO THANK U" hua inakuaga na payback so mkuu subir mke wako nae aje akutane ma wajanja wenzako
Napenda iyo kitu ila mke wa mtu '"NO THANK U" hua inakuaga na payback so mkuu subir mke wako nae aje akutane ma wajanja wenzako
badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,119 May 12, 2015 #23 by the tym unaoa na wewe utakua veree busy na majukum watakusaidia pia,in life there's more than sex..japo angalizo wahusika walitilie maanani
by the tym unaoa na wewe utakua veree busy na majukum watakusaidia pia,in life there's more than sex..japo angalizo wahusika walitilie maanani
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,298 Reaction score 98,922 May 12, 2015 #24 Hongera Sana Kijana kwa kuwaridhisha wanawake 20 hakika wewe ndio unayejua kuridhisha wanawake duniani mpaka wanahadithiana.
Hongera Sana Kijana kwa kuwaridhisha wanawake 20 hakika wewe ndio unayejua kuridhisha wanawake duniani mpaka wanahadithiana.
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,798 May 12, 2015 #25 mkeka wote huo mpaka nimechoka kusoma.... emh kua kwanza uyaone
sakina mohamed Member Joined Jan 22, 2015 Posts 90 Reaction score 24 May 12, 2015 #26 Wape ushaur wajue maana wamezoea we mama nan geuka huku hamna hatamandalizi jamani mapenz naubunifu kwanza pesa badae
Wape ushaur wajue maana wamezoea we mama nan geuka huku hamna hatamandalizi jamani mapenz naubunifu kwanza pesa badae
baraker88 Senior Member Joined Feb 26, 2014 Posts 124 Reaction score 147 May 12, 2015 Thread starter #27 Junior. Cux said: mkeka wote huo mpaka nimechoka kusoma.... emh kua kwanza uyaone Click to expand... Ungekua senior ningekuelewa kidogo, junior kua kwanza! Ha!ha!ha! Nishakua ndugu na hayo ndio niliyo pitia na nilishaacha..zingatia tu ushaur wangu....
Junior. Cux said: mkeka wote huo mpaka nimechoka kusoma.... emh kua kwanza uyaone Click to expand... Ungekua senior ningekuelewa kidogo, junior kua kwanza! Ha!ha!ha! Nishakua ndugu na hayo ndio niliyo pitia na nilishaacha..zingatia tu ushaur wangu....