msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
kijana mwenzetu ushazalilika hukoNi hivi ili uwe mwanaume kamili ni kwamba hata ukipewa sekunde 5 zinatosha kabisa mnara wako kusimama na kusoma kasi ya 5G,hakuna kitu kinacholeta stress duniani kwa mwanaume Kama upo na mtoto mzuri on the bed kisha mnara unasoma E Mara unapotea kabisa! Ni jambo LA fedhea kubwa sana!tuepuke soda kwa wingi na kila aina za chakula kinachopelekea kupunguza mzunguko mzuri wa damu!
Nadhani sauti inatosha
Sent by Diaspora
Labda huko Dsm , ila huku kwetu kitendo cha kuona tu mguu wa mrembo; mnara unasoma 8G
Pitia hiyo message [emoji116]View attachment 1290364
Sent using Jamii Forums mobile app
Muuza simu used,
Tafuta hela mbuzi wewe[emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238]
Watanzania watu wa ajabu sana usiku kucha hujalala unasubiri ahsubuhi ifike ili upost ujinga uliokuwa unauwaza usiku kucha
Mkuu sometimes unawaza huyu mtoto sjijampima ngoma sjui itakuaje nikishakumla, sasa apo itapandaje 5G na miwazo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaKwakweli!! Menyu tunazopiga siku na lifestyle letu ndo vinatu-let down!! Tutamaliza aina zote za mizizi ya maporini lakini network utabaki E
Kila kitu kina faida na hasara zake 5G sijui 8G mara u ajikuta segerea umebaka mtuNi hivi ili uwe mwanaume kamili ni kwamba hata ukipewa sekunde 5 zinatosha kabisa mnara wako kusimama na kusoma kasi ya 5G,hakuna kitu kinacholeta stress duniani kwa mwanaume Kama upo na mtoto mzuri on the bed kisha mnara unasoma E Mara unapotea kabisa! Ni jambo LA fedhea kubwa sana!tuepuke soda kwa wingi na kila aina za chakula kinachopelekea kupunguza mzunguko mzuri wa damu!
Nadhani sauti inatosha
Sent by Diaspora
Kazi na ujumbe mzuri mwana diasporaNi hivi ili uwe mwanaume kamili ni kwamba hata ukipewa sekunde 5 zinatosha kabisa mnara wako kusimama na kusoma kasi ya 5G,hakuna kitu kinacholeta stress duniani kwa mwanaume Kama upo na mtoto mzuri on the bed kisha mnara unasoma E Mara unapotea kabisa! Ni jambo LA fedhea kubwa sana!tuepuke soda kwa wingi na kila aina za chakula kinachopelekea kupunguza mzunguko mzuri wa damu!
Nadhani sauti inatosha
Sent by Diaspora
Mtu akipost ujinga wake. Wewe unateseka ?Watanzania watu wa ajabu sana usiku kucha hujalala unasubiri ahsubuhi ifike ili upost ujinga uliokuwa unauwaza usiku kucha
Kwani mimi nikiteseka wewe unateseka niniMtu akipost ujinga wake. Wewe unateseka ?
SitesekiKwani mimi nikiteseka wewe unateseka nini