Wanaume tujitahidi kulinda brand!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Ni hivi ili uwe mwanaume kamili ni kwamba hata ukipewa sekunde 5 zinatosha kabisa mnara wako kusimama na kusoma kasi ya 5G,hakuna kitu kinacholeta stress duniani kwa mwanaume Kama upo na mtoto mzuri on the bed kisha mnara unasoma E Mara unapotea kabisa! Ni jambo LA fedhea kubwa sana!tuepuke soda kwa wingi na kila aina za chakula kinachopelekea kupunguza mzunguko mzuri wa damu!
Nadhani sauti inatosha

Sent by Diaspora
 
Watanzania watu wa ajabu sana usiku kucha hujalala unasubiri ahsubuhi ifike ili upost ujinga uliokuwa unauwaza usiku kucha
Hiv kupost usiku usiku siku hiz wamekataza eeh??!
 
Wajitahidi kuwa 5G inapobidi au walinde brand?

Brand ni mjumuisho wa mambo mengi sana, hailindwi kwa mnara kuwa 5G peke yake.
 
Mleta uzi anajaribu kueleza mambo yanayomkabiri, funguka tu mkuu tutakushauri na tatizo lako litaisha.
 
Kwakweli!! Menyu tunazopiga siku na lifestyle letu ndo vinatu-let down!! Tutamaliza aina zote za mizizi ya maporini lakini network utabaki E
 
Watanzania watu wa ajabu sana usiku kucha hujalala unasubiri ahsubuhi ifike ili upost ujinga uliokuwa unauwaza usiku kucha
🤣 🤣 🤣 🤣 cha ajabu zaidi ni pale unapopoteza muda wako kuangalia vitu vya ajabu na kuacha comment kabisa!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…