kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,171
- 14,617
Sasa hicho chumba au stoo vyote humo chumba kimoja mshakaji unalala stoo so chumbaTuachane na shughuli kitandan tuongelee makazi (Geto)
Kuna kadada kamoja nlidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hiv alafu huna hata mke"
Tupeane maujanja ni Vitu gan vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake kurudi au atake kuishi hapo kabisa
Mi nina :
1.Feni,Gesi,chumba kina Kapeti pia kuna smell good
2:Nina kafriji(hakagandishi ila ntakatengeneza)
3:sina TV ila nina Projector 100 inch ukutani na Azam tamthilia na movie hazikosekan
4c games za kutosha
5:Chakula cha kutosha pia(nafaka)
NB:Gari sina ila majaaliwa
[Wadada pia changien mnapenda Geto la mwanaume liwe na nini mpaka uamue kuweka makazi hapo]
Ni geto la aina gani linamdatisha mdada/mwanamke/mchumba
twambie kwa uzoefu wako
Funguka
Tuachane na shughuli kitandan tuongelee makazi (Geto)

Mkuu hapo ni stoo sio geto tena hilo... mpaka jiko gesi ndani ya chumba kimoja
Umesema chumba,alaf umeandika seble.
Rekebisha mkuuuu.
PointMkuu nakushauli tafuta demu anayekupenda wew sio demu atakayependa getto ukadhan anakupenda wew ukaja kujuta baadae sometimes kuwa kama ulivyo ili uwajue waongo
Ghetto lako lina ukubwa gani?Geto langu
1)Home Office, Kuna meza na kiti za ofisini Executive, juu ya meza kuna vitabu, pin board, Simple whites notes board Pembeni ya meza na Laptop...hii ndio sehemu muhimu ya geto kwaajiri ya.
_Brainstorm new ideas
_Plans n Goals
_Learning n Training new things
_Writing
2)Home Gym, kuna setup ya Free Weight Dambell, Barbell, Yoga nap, flat bench...vyote viko katika sehemu ya geto inaitwa GYM.
3)Entatainment, hapa kuna Flat TV, PS Game na Home thieta hii sehehu kwaajiri ya burudani tu.
4)Fashio n Life Style, hapa kuna hanger ya nguo safi, Dressing table, chakuwekea viatu nk.
5)Design, Hapa ni urembo wa Geto hasa wallpaper ya ukutani nzuri.
Hizi Part za room zote zipo kwenye sehemu husika na zijachukuwa nafasi kubwa kimsingi mimi napenda kuwe nanafasi kubwa iliyobaki kwaajiri ya
_Workout
_Meditation
Ndio maana siweki Sofa na kitanda kikubwa.
NB: lijafikia huko bado geto ila nipo step by step step, geto langu kwaajiri ya interest zangu.
😭😂 😂 😂Chaajabu wengi awana mageto
Haka ni ka roomhapa tusema ni ghetto amaView attachment 1737766
Ukitupia na Picha hivi Itapendeza sanaGeto langu