Aisee!!!!!!!!!
Sikiliza nikwambie, isiishi kwakuongozwa na hisia,
Sitaki kutenda dhambi, baba yake mtoto anampenda mtoto wake kuliko unavyofikiria, kwa hilo sina shaka, tatizo mtoto analelewa kwao na yeye yupo hapo kwao sababu anawaangalia pia wazazi wake, tatizo ni waangalizi wa mtoto pale yeye anakuwa kazini na pia nadhani hata familia inatokea kuaminiana ndio maana mtoto anaweza kuachiwa mtoto wa kiume wao wakaona sawa, na ukisema unaonekana unawangilia, zaidi hana shida kabisa na mtoto na muda mwingi huwa na mwanae.
Mimi silalamiki yeye kuwa mtoto, kwakua ni jambo ambalo sina shaka nalo na soon litakuwa ndani ya uwezo wangu. ila ninalalamikia msg za matusi tu. nadhani umeelewa sasa.