Half Amerika amepigaje hapoooo😊😊
Mkuu 😊 jamaa may be atakua anapewa ma style ya vijana kama popo kanyea mbingu au teke la nyau au mama Samia kauza bandari.."Mama Suuuuu hodi nifunguliee mlango hiii hiii"
Aloo huko mjini Kuna mambo mengi sana![]()
Hahaaaaa, jamaa kanichekesha sana."Mama Suuuuu hodi nifunguliee mlango hiii hiii"
Aloo huko mjini Kuna mambo mengi sana![]()
Bro dunia imekwenda siku hizi kala kitu ni umayai tu.Kweli Dunia inaenda Kasi Na Inapata Watu wapya kila siku na Wengine wanasepa Kila leo…!!Kero kubwa ambayo inaboa kila uchwao kwa kizazi hiki ni Mwanaume KULIA..
Inatafsiriwa kuwa mwanaume ni mtu ngangari,Mpambanaji…Ila Leo hii imekuwa tofauti mwanaume alia sana mbele za watu,Kitu kidogo michozi..
Miaka ya nyuma kuona Chozi au kilio cha mwanaume ni inshu sana hata baba zetu tulikuwa tunajiuliza ivi wanalia kweli? walikuwa ngangari sio kwenye misiba wala kwenye mambo mengine huoni chozi ila macho tu huwa mekundu kama mambo ya red eyes..
Wanaume wa siku izi hata akinyimwa unyumba atalia kila mtu atajua,Sio kwenye mitandao hata kwa watu wake wa karibu….!Kukitokea msiba ndio Kabisaaaa Atalia Huku kashikwa na watu….Zamani kila kitu kilikuwa kificho,Kuanzia ngono na mambo mengi ya kutia aibu..
Jana mpangaji mwenzangu kaa njee ananiita na kuniadithia huku analia anasema hamuelewi mke wake hampi utamu Kama zamani,Nilitamani kumpiga konzi Yani swala Kama Hilo unashindwa kutatua unalia…Kwishinei
Zamani Chozi la mwanaume halionekani ovyoo,Chozi la mwanaume linafichwa na akilionesha watu wanaogopa wanasema Leo kimbembe hapa…Leo hii jitu linalia tu,Kajikwaa analia,Kanyimwa utamu alialia,Kafukuzwa kazi analia…
Sio kwamba zamani mababa zetu walikuwa hawalii nop Ila analia anapapopajua Akija macho mekundu anatatua tatizo…Ndio mana Zamani hata filamu humuoni mwanaume akilia ovyo Ila siku izi GABO analia Kama demuuuu vilee…
,Mke wangu huwa ananiuliza ivi ushawahi kulia cuz hajawahi nionaga na izo pigo japo napitiaga changamoto Ila sipaswi kumuonesha chozi langu Atanidharau…
Kuna mijinga mingine ikikojoa pia inalia inapiga mikelele,Kuna mmpangaji mwenzangu akipizi huwa anamwambia mke wake “Mama Suu Hodiiiiii Nifungulieeee Nakuja mke wangu hiiii hiiii” Yani ujinga ujinga tu..
Aliyekwambia ukilia ndio unatoa stress nani?Nianze kutunza mambo kifuani eti kisa uanaume mwisho nife na mastress aaagh hapana aise siwezi .
Lolote likinikuta ni mwendo wa kutoa machungu kwa kilio tu mpaka nijihisi ahueni haijalishi kuna watu au hawapo mimi ni kilio tu .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ndio nyinyi wakulialiaAliesoma yote anipe summary siwezi gazzete lote
Hata ingekuwa wewe usingelala 😂 Mwanaume gani anasema KUMBE NI TAMU Yani Kama kapewa Leo wakati katika Ndoa wapo miaka kadhaa…Kwahiyo ww hulali unawasikiliza baba suu na mama suu.?? 😂😂😂
Ndiomana Tanesco wanatukatia umeme wanavyotaka wao na hatuna cha kuwafanya
.Bro dunia imekwenda siku hizi kala kitu ni umayai tu.
Mwanaume anamvisha pete mchumba wake analiga magoti na anashika uso. Mambo mengne ya hovyo
Hii dunia imekua ya hovyo sana inahitaji iwe UPDATED na MOTO ndo suluhu...Nafikiri Dunia inahitaji Update ili kutoa Huu Ujinga…
Thread ikiziidi mistar minne kusoma ni kazi sanaHata Kama Mungu ndio Mpaji Ila hawezi kukupa Kama mvivu ivo broo..
Ndugu stress haiondoki mpaka umeutoa uchungu moyoni hivyo mimi daima nalia kutoa uchungu na badae nalikubali lililonikuta ili nipate stress free .Aliyekwambia ukilia ndio unatoa stress nani?
Kuondoa stress ni ww mwenyew kukubaliana jambo linalo kusumbua. Hata kama ni tatzo zito kubali kuwa hyo ni sehemu ya maisha yako ambayo Mungu alipanga kuwa utayapitia sasa ni ww kulitatua.
Kwani wanawake wangapi wakipgwa chini wanalia na bado wanazidi kupauka kwa stress?
