teh teh tehHivi ndoa zinaumwaga eeh,,,,
Kama hili swali ni langu,,,the answer is yes,,,I have been in marriage for 12 yrs now,,,never experience fever in my marriage,,,,Hold on... Ulishawahi kuexperience maisha ya ndoa?
Mhh!! mvua 12 za ndoa shetani amepita kimya kimya hajawaona? tupeane kauzoefu hapo mkuuKama hili swali ni langu,,,the answer is yes,,,I have been in marriage for 12 yrs now,,,never experience fever in my marriage,,,,
Mario Balloteli alisema hauna haja ya kumpongeza akifunga goli maana ndio kazi yake.Ikiwa siku hizi mkeo hakupi pole kwa kazi, wakati awali alikuwa akifanya hivyo kila unapotoka kazini.
Jiulize yafuatayo.
Je nikimaliza kula huwa namshukuru kwa kupika?
Je akifua nguo zangu huwa namshukuru?
Je nilishawahi kumpongeza kwa malezi ya watoto wetu?
Je nilishawahi kumletea zawadi na nikamwambia "hii ni mahususi kwa kuwa jana ulinipikia ugali mtamu?"
Wanawake wengi hupenda kujifunza kwa waume wao. Kabla haujenda kumshtaki mkeo, kwa mshenga, mzee wa kanisa, padri, shekhe, mchungaji askofu, n.k
Fanya haya niliyokuambia, maana MUNGU anakwenda kuiponya ndoa yako sasa.
Mkuu agiza novida hapo kwa mangi naja kulipaIkiwa siku hizi mkeo hakupi pole kwa kazi, wakati awali alikuwa akifanya hivyo kila unapotoka kazini.
Jiulize yafuatayo.
Je nikimaliza kula huwa namshukuru kwa kupika?
Je akifua nguo zangu huwa namshukuru?
Je nilishawahi kumpongeza kwa malezi ya watoto wetu?
Je nilishawahi kumletea zawadi na nikamwambia "hii ni mahususi kwa kuwa jana ulinipikia ugali mtamu?"
Wanawake wengi hupenda kujifunza kwa waume wao. Kabla haujenda kumshtaki mkeo, kwa mshenga, mzee wa kanisa, padri, shekhe, mchungaji askofu, n.k
Fanya haya niliyokuambia, maana MUNGU anakwenda kuiponya ndoa yako sasa.
Ulikuwa hujui eeh...?Hivi ndoa zinaumwaga eeh,,,,
Mkuu umenizidi mwaka mmoja mi ndoa yangu ina miaka 11 nowKama hili swali ni langu,,,the answer is yes,,,I have been in marriage for 12 yrs now,,,never experience fever in my marriage,,,,