wanaume tuamini kweli mnarogwa na vimada?

ww mwenyewe mtumiaji mkubwa wa limbwata
 
we dada aisee ntakupa zawadi umeandika point ya ukweri vp ulifundwa nn? Umeajuaje hayo yote?
 
Habari zenu jamani,wakubwa heshima yenu na wadogo zangu mambo zenu.

Yote mlosema nimeyaelewa na nimekubaliana nayo vizuri tu,naomba uliza sisi wanawake kweli tunajisahau sana tunapokuwa katika ndoa tunaona tumefika lkn naomba mkumbuke pia kuna majukumu mengine yanaanza baada ya hapo ambayo wanaume wanapaswa kujua yameongezeka,na swala la nyumba ndogo wapo wanaotumia uchawi kuwateka wanaume wetu na pia wapo wanaotumia uwezo wao na ujanja kutuchukulia waume zetu pia,NAPENDA KUWAKUMBUSHA WANAUME KUWA MAPENZI ILI YAWE MATAMU NDANI YA NYUMBA NI LAZIMA MSAIDIANE WATU WAWILI KATI YA MUME NA MKE NA SI UTEGEMEE MWANAMKE KUKUFANYIA KILA KITU YAKUPASA MUWE PAMOJA NA MSAIDIANE KTK HILO HUTOKAA UKAMCHOKA MKEO NA PILI JARIBU KUWA MAKINI SIO KILA SIKU UMGEUZE NDO GODORO UTAMKINAI HARAKA NA MTUNZE NA MVISHE ILI KILA UMUONAPO AWE MPYA KWAKO WENGINE HAMJUI HT KUTUNZA WAKE ZENU TF MJITAHIDI SANA.
 
Tatizo unalioa janamke unalipa kila kitu then linaanza kuleta mambo ya beijing. Bora usepe tuu.
 
watoto ni wake, kwani ukiwaona watoto ni kama umeona baba yao..wanafanana sana.

Pole dada, ni kweli wapo wanawake wanakesha kwa waganga kuwapata wanaume tena waume za watu! Cha muhimu pray for him huenda sio akili yake
 
Pole dada, ni kweli wapo wanawake wanakesha kwa waganga kuwapata wanaume tena waume za watu! Cha muhimu pray for him huenda sio akili yake
Mtu anapofanya chaguo ndani ya chaguo ujue kunaudhaifu kauona kule kwa mwanzo mara nyingi sio amerogwa ni kuwa amepata kile alichokuwa anakikosa tusiamini uchawi mara zote tutafute chanzo sahihi cha kosa ili lipatikane jibu sahihi, wengi wanjishau wanapokuwa wameingia kwenye ndoa
 
Hakuna uchawi wala nini, kuna wanaume wanaojulia wanawake ukubwani ndo huwa wanalimbuka kwa hivyo, utakuta mtu shule shule na yeye akimaliza chuo date moja na ndoa, sasa kwenye ndoa ndio anarelax na kuanza kuangaza macho huku na kule, pole mamito, mshukuru Mungu kajiondoa mapema, ila mbane kwenye sheria awatunze wanawe
 

Nimepandaje maelezo hayo! BIG UP
 
Hapa wanawake ndo mnajiloga wenyewe! We unakuwa na mke wako halafu hata nguo zako wanafua na kuzinyoosha wasichana wa kazi....Kazi yake ni kulala tu na kutazama movies kama nae producer! Chakula na kutenga mezani ni wasichana kazi kila siku! Sasa kwa nini mtu usitafute hapo pakupumzikia?
 
Mhhhhhhhh sasa umeoa mke au kijakazi
 
ndo hali halisi hiyo........... Usifikiri watu wanatunga kila kitu hapa.
Mie pia nina uzoefu wa muda mrefu wa mahusiano lakini mambo ya kufanyana vijakazi siku hizi hayapo, yalikuwepo enzi ya bibi zetu walikuwa wanakaa nyumbani tu, hawafanyi kazi, sasa siku hizi kuna kijana anataka mke golikipa? mambo kusaidiana, sasa kama mnarudi wote saa mbili mmechoka mke ndio aanze kukupigia pasi tena, aaaaaaah, labda uoe mke wa kukaa home tu.
 

Sawa, iwapo kuna wasichana wa kazi, huwezi kumwekea mmeo chakula mezani kisa wote mmefika pamoja? Huwezi hata kukagua nguo za mme wako hata kama zimefuliwa na wasichana wa kazi? Huwezi hata kutandika kitanda kisa wote mnakwenda kazini?
 
Sawa, iwapo kuna wasichana wa kazi, huwezi kumwekea mmeo chakula mezani kisa wote mmefika pamoja? Huwezi hata kukagua nguo za mme wako hata kama zimefuliwa na wasichana wa kazi? Huwezi hata kutandika kitanda kisa wote mnakwenda kazini?

Itategemea, sasa ukienda nyumba ndogo ndio inafanya yote hayo? sometime naamka namwacha amelala au hapo inakuwaje,chakula kipo mezani tunakikuta, tunakula, kanikuta nimelala siamki, NGUO NAZIANGALIA WEEK END TUU,akitaka kubadili mtiririko katikati ya wiki anaingia kwenye pasi mwenyewe
 

Hapo tayari umeniloga..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…