jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 258
Habari wakuu..
leo wakuu nimetingwa sana na mawazo juu ya wanaume, malalamiko ni mengi sana juu yenu(baadhi)tatizo ni nini au ndio tuamini kweli huwa mnarogwa na vimada!?..
mwanaume mwenye ndoa kweli wewe ni wa kumuacha mke wako na watoto wako wazuri, kwasababu ya mwanamke wa nje?? na umemuacha ukijua kabisa mke wako hana kazi wala biashara..unategeme aishije na watoto wako.
Haya hilo weka pembeni..mwanaume unapoamua kuondoka na vitu vyote vya ndani na kuacha nyumba nyeupe, huwa unawaza nini wakati unatenda kitendo hicho..
Dhaa!!!kama sio akili zenu zinazowaelekeza kutenda hayo yote Mungu awasemehe, na kama ni kweli vimada wanakesha kwa waganga kuwaharibu waume za watu Mungu ndiye atakayehukumu..
Pole kwa yaliyokukuta au huyo unayemsemea.au jamaa kashtukia kuwa watoto unaowatetea sio wake?naona hapa tunasoma malalamiko ya upande mmoja tu.
watoto ni wake, kwani ukiwaona watoto ni kama umeona baba yao..wanafanana sana.
Nadhani hakuna uchawi hapa. Mapenzi ni ujanja na mara nyingi sie hatuwajui wanaume wanataka nini. Kwa kawaida tunadhani sisi tunawafahamu sana ila si hivyo. Experience yangu ni kuwa mwanaume anamilikiwa na mwanamke, ukikosea na kujisahau, anapotea. Akiokotwa na Small house ambaye atajua ni nini anataka, ndiyo balaa. Kwa bahati mbaya wanawake wenzangu tunadhani uzuri ndicho kitu wanaume wanataka, la hasha wao kugegenda ni nambari wani. Hivyo njia rahisi ya kumtuliza ni kuhakikisha pindi akitaka upo na kama kuna sababu, hakikisha unajenga hoja analainika si kutumia hoja za nguvu kama na wewe huoni nipo siku mbaya n.k. Niishie hapo kwa leo.nyumba ndogo noumer!
wanaloga balaa, ila
mapenzi ya dawa ni ya muda tu,maombi ndio jibu!
Tatizo ni dogo sana, wanawake wengi akishaolewa anajisahau, anaacha kuchukua nafasi yake katika ndoa na anataka muwe sawa au akuzidi ikiwezekana. Wanaume wengine hawataki malumbano kila siku, ikiwa hivyo anakaa kimya tu anatafuta mahali pengine anapojiona ni baba na mwanamke ni mama
nyumba ndogo noumer!
wanaloga balaa, ila
mapenzi ya dawa ni ya muda tu,maombi ndio jibu!
Nadhani hakuna uchawi hapa. Mapenzi ni ujanja na mara nyingi sie hatuwajui wanaume wanataka nini. Kwa kawaida tunadhani sisi tunawafahamu sana ila si hivyo. Experience yangu ni kuwa mwanaume anamilikiwa na mwanamke, ukikosea na kujisahau, anapotea. Akiokotwa na Small house ambaye atajua ni nini anataka, ndiyo balaa. Kwa bahati mbaya wanawake wenzangu tunadhani uzuri ndicho kitu wanaume wanataka, la hasha wao kugegenda ni nambari wani. Hivyo njia rahisi ya kumtuliza ni kuhakikisha pindi akitaka upo na kama kuna sababu, hakikisha unajenga hoja analainika si kutumia hoja za nguvu kama na wewe huoni nipo siku mbaya n.k. Niishie hapo kwa leo.
Nitakubali kwa mantiki ya kuwa wanaume ni watani wetu wa jadi.wanawake wanapenda kugegedana zaidi ya wanaume!!!!!!!!!!!