Wanaume :tuambien kna dada mnapenda tukiwa'approach au tuendelee kusubiri mje

hahahahaaaa umenifanya nicheke my brother..............

nimekusikia na neno lako kwangu sharia
Na furaha yako ndio raha yangu!!!!!
Kufa kisabuni bana just vi signal na utani kidogo kama mtu sharp atasoma (x,y) na kujiongeza sio oooonh this wkend nataka kupika ila naona uvivu kula mwenyewe kama vip njoo ule kwangu!!!!!
Daaaaaamn
 
Mmh, mi ukionyesha dalili huwenda utaanza kuvuta attention zangu na kama nimeridhika na wewe lakini ukinapproach kwangu ni sawa kabisa, tena napenda sana hivyo!
 
Mamboz jf pipo
am really curious,mwanaume unapenda unifatilie had unipate ndo inakupa uhakika wa mapenzi yetu?au pia nikiona nmekuonyesha dalili bt hata hustuki nikiku'approach utalichukuliaje hli?unapenda ur girl atumie style ipiiii...tiririkeni basii

Mi naomba uni-approach hta sa iv aisee.
 
Sema ukweli mi nlikutongoza afu ukantosa nasikitika hadi leo

Hivi mimi na wewe nani kamtosa mwenzie? Unakumbuka nilikuambia sitakuacha bali wewe ndo utaniacha?

Sasa umeniamini? Afu unajua navokumisi?
 
Asipotongozwa, abake mitetea? Mi nimetongoza mpaka nilipofikisha miaka 60 ndo nikastaafu.
By then anapaswa awe ameshakagua na kuweka kitu ndani,atabaka ili nini?
Hapo kwa bold pole yake bibi
 
mna tuchelewesha sasa pale ambapo tunakuwa tumezimika na nyie.

umeona eeh utakuta umempenda mtu na kila dalili umemuonyesha lkn wapi..hata mkikutana mnaishia kupiga story za kawaida tu ila hasemi chochote inaboa sana hii.mi sijawah na sitawahi kutongoza maishani ...labda itokee kukic nae bahati mbaya lkn sio kupanua domo langu kuapproach
 
Back
Top Bottom