Wanaume :tuambien kna dada mnapenda tukiwa'approach au tuendelee kusubiri mje

Mamboz jf pipo
am really curious,mwanaume unapenda unifatilie had unipate ndo inakupa uhakika wa mapenzi yetu?au pia nikiona nmekuonyesha dalili bt hata hustuki nikiku'approach utalichukuliaje hli?unapenda ur girl atumie style ipiiii...tiririkeni basii

Asiyekuwa na kigezo ME hasogei !! wanahaha...
 
ish!
SASA FURSA ZA CLOUDS KWENDA KIGOMA ZINISHINDE!
hata kumtokea Eiyer tuuuu
ahahahhahahha hiwezkani bana!
tatizo ataanza kung'ata vidole,manake kuna siku Shenazi alitaka kumtoa roho kijana wa watu!
ahahahhahahh!
asee we dogo mekumiss ujue!
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeh! hizi zama za ukweli na uwazi tena bila kuchelewesha. ukipigwa cha mbavu unakaa kando kuugulia maumivu.

sema wewe shosti!
khaaa!
nani sasa anataka mambo ya kuugulia kichin chin!
AHAHAHHAHAHHAHA ni mwndo wa kufunguka tuuuuu!
EBANA VIP!UJUE MI NDO KAMA VILE!
 
Ah wengine sisi we are cheap and easy wala haitaki msuli. Wewe njoo tu funguka hamna tatizo.
 
ish!
SASA FURSA ZA CLOUDS KWENDA KIGOMA ZINISHINDE!
hata kumtokea Eiyer tuuuu
ahahahhahahha hiwezkani bana!
tatizo ataanza kung'ata vidole,manake kuna siku Shenazi alitaka kumtoa roho kijana wa watu!
ahahahhahahh!
asee we dogo mekumiss ujue!

Tatizo siku hizi umekuwa mkorofi sana

Hata ile makitu hunipi.....lol!

Tatizo Shenazi alikuwa anaDIPU tu
Hakuwa siriazi yule!!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo siku hizi umekuwa mkorofi sana

Hata ile makitu hunipi.....lol!

Tatizo Shenazi alikuwa anaDIPU tu
Hakuwa siriazi yule!!

sasa nshakutongoza nimekupata hayo makitu nikupe ya nini!
aahahahhahhha umemegwa umeachwa TULIA!
sa hiz nataja kumuaproach nani OTEA!
 
sasa nshakutongoza nimekupata hayo makitu nikupe ya nini!
aahahahhahhha umemegwa umeachwa TULIA!
sa hiz nataja kumuaproach nani OTEA!

Aaaaaah wapi hujanipata bado

Yaani hata kukufikiria bado
Unajipa ushindi wakati hata mechi yenyewe bado

N nakuambia yale makitu utanipa tu!
 
Mamboz jf pipo
am really curious,mwanaume unapenda unifatilie had unipate ndo inakupa uhakika wa mapenzi yetu?au pia nikiona nmekuonyesha dalili bt hata hustuki nikiku'approach utalichukuliaje hli?unapenda ur girl atumie style ipiiii...tiririkeni basii
A woman MUST FIRST emit a ray of correct wavelength SO AS to provoke a man to action; imekaa hivyo tangu zama za Adamu na Hawa. Baada ya Mungu kumuumba Hawa alimleta kwanza mbele za Adam aone kama Adamu atapokea ujumbe wowote toka kwenye hicho kifaa. Palepale Adamu akatangaza ridhaa yake kwa kushuhudia kwamba hicho kifaa ndio chenyewe kabisa haendi kushoto wala kulia. Muhimu ni kwamba matamko ya Adamu yalikuwa yanazingatia kile alichokuwa anakiona tayari kimetengenezeka ndani ya mwanamke na kwamba hata jina alikuwa bado kupatiwa. Kuna tafri nzito katika hili ila kwa haya machacge huenda mwanga ukapatikana.
 
Back
Top Bottom