Atambue tu wanaume katika zama hizi niwachache sanaTofautisha kati ya mwanaume na mtoto wa kiume. Mwanaume hawezi kumiliki picha za utupu za mwanamke kwenye simu yake. Ni watoto wa kiume na wa kike pekee ndiyo hufanya hivyo.
Enzi zile hakukuwepo teknolojia labda babu zetu wangefanya vilevile wanavyofanya vijana wa Sasa wa kiume.Siku izi kuna tabia fulani ya wanaume some time najiuliza why imekuwa ivi
Mwanaume akiachwa na mwanamke kama ana picha zake za utupu ana zipost kwenye mtandao najiuliza kwanini wanafanya ivi Sipati picha kabisa.
Kuachwa na kuachana sio kizazi chetu ndo kilianzisha hata mababu zetu nao walikuwa wanapendana na kuachana lakini huwezi kukuta mwanaume anatoa siri za ex wake kwa mwanaume mwingine lakini siku hizi imekuwa fashion kabisa.
Tuache kuzaraulisha wanawake najua inauma saana kuachwa na mwanamke umpendaye kwa dhati lakini usifikie hatua ya kumpost mtandaoni wewe kubali matokeo tu mwanaume mwenzangu.
Na ninyie wanawake ukiona huna time na mwanaume plz usijaribu kula vitu vyake uku mwili wako ukiweka ni sehemu ya burudani mtapostiwa saana na kunyongwa [emoji1][emoji1][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ubaya u aya tuu wee kidume kama umepigwa chini na mwanamke na u unazo picha zake wee tupiamo tuu maana wao hawanaga huruma wakati wanatubwaga.Siku izi kuna tabia fulani ya wanaume some time najiuliza why imekuwa ivi