[emoji849][emoji849][emoji849][emoji25][emoji25][emoji25][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]Wakati sisi tunatafuta pesa ninyi pia mtafute dawa za kukuza matackle ...siku hizi hatuhongi flat screen
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc: Mzee kapuyaNakubaliana na wewe kwani raha ina gharama zake ila tukumbushe kuwa Kuku hula Sawa na mdomo wake na huwa hapaliwi. Angalia hata kinyaia ameamua kubeba mtu Sawa na nyanya yake! Hivyo above 35 kama huna hela ni vyema ukamuiga Ben kinyaia ukabeba over 50 years baadala ya kutafuta less than 25
Very goodWanaume huwa hawapendi kuusikia ukweli, ila pesa na mapenzi ni pande mbili za sarafu zinazotegemeana.
Tafuteni pesa acheni kushinda kwenye mitandao mkitukana serikali na kupiga umbea. Heshima yako iko mikononi mwako,usijekusema hauheshimiwi kumbe ni vile umeshindwa kujitengenezea heshima mjini.
Wewe binadamu hawalingani wewe chagua unayemtaka acha lalama unataka wenye pesa wapo wakina kipuya wamejaa tele the choice is yoursHasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.
Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
Wanawake kwa kiasi chake wameamka, kama bado kuna mwanamke anasubiri pesa ya mume basi ni pepo tu hilo, maana hata mitaani wanamke wameamka hatari wanabeba familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenielewa?unajua why nimeandika?kuna sehemu nimeandika mimi wa kukaa tu na sina chapaa?
Na mwanamke timamu hapendi mtu kisa pesa nadhani umeelewa namaanisha wewe ni nani hapooo Yeah total turnoff mwanawume asiye na pesa huyu hata hotelin he will ask price of water before ordering.
money is everything mwanaume asiye na hela anakuwa musumbufu sana kind of zezeta.
Kabisa, personally am inspired kwakweli ukijichanganya na wanawake siku hizi wana idea nyingi za kujikwamua unasahau hata kufatilia simu ya mume,thumbs up to all hardworking ladiesThat's the spirit.
Na tuendelee kuamka manyanyaso dhidi ya wanawake yatapungua.
Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.
Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
Thumbs up to all the hardworking ladies out there.Kabisa, personally am inspired kwakweli ukijichanganya na wanawake siku hizi wana idea nyingi za kujikwamua unasahau hata kufatilia simu ya mume,thumbs up to all hardworking ladies
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukufuru, usimuite mtu zezeta Kwa kukosa PESAoo Yeah total turnoff mwanawume asiye na pesa huyu hata hotelin he will ask price of water before ordering.
money is everything mwanaume asiye na hela anakuwa musumbufu sana kind of zezeta.