Well said Karucee umeongea point kubwa sana!I always say this, a woman's best security is some money of her own. Wanawake tuwe na hela zetu. Roho zisitutoke kisa hela za mwanaume. If he has cash well and good, I mean we all want to feel special when our men spend on us.
Lakini kukaa unataka nikisubiri leo mwanaume kaingizwa kiasi gani na utaelewa ngapi is very humiliating.
Na ndo hapo huwa tunatumika vibaya sababu there will always be that need to reciprocate on the woman's part.
Well said Karucee umeongea point kubwa sana!
Na hili jambo la wanawake kutegemea sana miili kama kitega uchumi ndo kunawafanya wengi zaidi wawe vituko kwenye real life!
Mwanaume ni mwananaume na anabaki kuwa mwanaume tu hata akiwa hana pesa leo utamuona kama mavi lakini huyo huyo kesho akizifumania pesa utakuwa tayari akufanye chochote kile!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mwanamke wa umri huo anakuwaje na anatakiwa afanye nini??Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.
Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
Wakat tunatafta ela mjiandae kulamba koni Na kutoa t****o kwa bidii ili tuwagawie hzo ela Na nyie msizeeke mkiwa Na ela.Hasa mliofikisha miaka 36 na kuendelea, msipokuwa na pesa mnakuwa hovyohovyo hamna swaga, hamjiamini kila saa kusumbuana kwa msg, mvi zinawatoka, majasho, makunyazi, munakosa nuru kunawiri kwa ufupi munakuwa waovyo.
Mwanamume mwenye pesa mob mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia , anapaka Mafuta RS ngozi mororo, hakuna kuzeeka mumuangalie pdiddy au muzee mwanakijiji humu hazeeki.
oo Yeah total turnoff mwanawume asiye na pesa huyu hata hotelin he will ask price of water before ordering.
money is everything mwanaume asiye na hela anakuwa musumbufu sana kind of zezeta.
Pole sana. sio kibamia tena?mutamu sana, self confidence, napewa nachotaka ananukia
Nyie ni watoto wadogo, pigeni puli.Wamekuskia mamiloo..Vp sisi ambao hata 25 hatujafika unatushauri tutafute nini?
I always say this, a woman's best security is some money of her own. Wanawake tuwe na hela zetu. Roho zisitutoke kisa hela za mwanaume. If he has cash well and good, I mean we all want to feel special when our men spend on us.
Lakini kukaa unataka nikisubiri leo mwanaume kaingizwa kiasi gani na utaelewa ngapi is very humiliating.
Na ndo hapo huwa tunatumika vibaya sababu there will always be that need to reciprocate on the woman's part.
Kila kitu ni batili duniani[emoji5] kuwe na kiasiMathayo 6:33
Utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni na hayo yote mtazidishiwa.
Mwanamke haridhiki na pesa, kadiri hela inavyoongezeka ndivyo anavyopandisha dau.
Ndio maana wanaliwa migongo kwa tamaa yao ya pesa
Wanawake kwa kiasi chake wameamka, kama bado kuna mwanamke anasubiri pesa ya mume basi ni pepo tu hilo, maana hata mitaani wanamke wameamka hatari wanabeba familiaI always say this, a woman's best security is some money of her own. Wanawake tuwe na hela zetu. Roho zisitutoke kisa hela za mwanaume. If he has cash well and good, I mean we all want to feel special when our men spend on us.